Epuka kuwa na circle kubwa ya wanawake

Mungu kamuumba mwanaume ili atafute pesaa,……
Mungu kumuumba mwanamke ili atumie izo pesaa %%%%@#+
Hio nazani ni nyimbo ya za mafik inaitwaaa tumiaaa tumiaaa tumiaa zikozoeee
 
Ukwelii mchunguu!
Iko hivi mwanamme ni ngumu Sana kumuomba msaada wa kifedha mwanamkee, lakin mwanamkee akiomba msaada wa kifedha kwa mwanamme ni rahisi Sana kupata.

Imagine wamekuomba watano na umewazingatia wote ili kulinda brand yako, matokeo yake watakudhurumu na kukuacha maskini😂.
 
Noted
 
Pamoja na ubinafsi tulio nao sisi binadamu wote, yaani mimi nitapata nini kwako na wala si wewe utapata nini kwangu, pia kuna kauli ya kwamba usimuonee huruma mwanamke, na nyingi zinazo mtahadhausha mwanaume dhidi ya mwanamke, mimi binafsi naweza kukataa hoja yako , si moja kwa moja ila juwa maisha ya binadamu yanafungwa katika furaha, na furaha inapatikana kwa vingi na moja wapo ya furaha ni kutoa ama kumpa yoyote akuombaye.

Labda cha kuwaambia wanaume kwamba nusu ya matatizo yote ya mwanaume yanapatikana pale anapo jihusisha na mwanamke, ila ukitoa ubinafsi na kujipendelea hatuwezi kuenda na falsafa zako mleta mada dhidi ya mwanamke ingawa zina hoja inayo paswa kuungwa mkono .
 
Sijawahi kuwa na rafiki mwanamke kwasababu sihitaji kuwa muongo kwa nafsi yangu.
Lakini pia Sina adui mmwanamke licha ya kuwa wanamaneno machafu wakati mwingine ila huwa nawapotezea tu, kuna dada yangu mmoja ilikua kuna siku anaamua tu aniletee noma ananiambia "nipige kama kweli we mwanaume" ila kuna uvumilivu flani ninao dhidi yao.
 
H
Huwa nafatilia thread zako kiumakini kabisa unamadini sana ... Hongera sana
 
Ntakuwa nasoma comments za wale watakaogongwa kichwani na hili jiwe....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…