Epuka kuwa na circle kubwa ya wanawake

Epuka kuwa na circle kubwa ya wanawake

Hii ni kweli kabisa, jaribu kuangalia wanawake ambao walishakuomba pesa awe ni girlfriends or rafiki tu ni wengi kuliko ambao wewe ulishawaomba pesa. Mahusiano na mwanamke ni kupenda kupewa tu huwa hawajui wao kutoa, unaweza mpa pesa na asiseme asante.
Akisema nikopeshe kukulipa itakuwa issue tu, ukidai ndo mwanzo wa kuchukiana na kukasilikiana
 
Kadiri unavyokua na idadi kubwa ya wanawake kwenye circle yako iwe kimapenzi au kirafiki ndivyo unavyojiandalia maisha ya kuishia kwenye umasikini. For every 10 women you attract into your life only one genuine woman might respect and value you, other nine just want a piece of your success

Usijidanganye kwamba ni marafiki tu, siku zote mwanamke anachokiona kwa mwanaume ni masilahi tu, namba yako ipo kwenye simu yake kimkakati, soon or later utapigwa mzinga tu, sawa kama hauna au hautaki kumpa utamtosa tu lakini mazoea ya kuombaomba yanapojirudia rudia inakua kero.

Maisha yako kiuchumi yatakua na unafuu na yataimarika zaidi ukijiepusha na wanawake. A man who has too much attention from women is at constant risk of being distracted, manipulated and taken down. Don't fooling yourself that you're handsome or attractive man, the truth is all those women sees you as a resource not as human being.

Kwa kipindi chote ambacho bado u kijana unaepambana kujikwamua na umasikini basi mwanamke awe kitu cha mwisho kabisa kukifikiria. Don't do any financial stupidity to impress a woman.

Wanawake ni parasite, hakuna namna utakua karibu nao bila mfuko wako kutoboka, wanakuja kwa ajiri ya kuchukua tu sio kuchangia.

Halafu sasa mwanamke uyo anayetaka kukubesha huo mzigo hakudai, hajakufanyia kazi yoyote, hajawahi kukupa ushauri chanya wala ramani ya mchongo wa kupiga pesa, out of nothing anajiona tu ana haki ya kunufaika na mfuko wako, this is totaly bullshit.

Kuna hitaji la wanawake wa Tanzania kufanyiwa consultation, it makes no sense mtu anajipa haki ya kupata gawio kutoka kwenye hela ambayo hajashiriki kuitafuta.

Mwanamke hana output yoyote kwenye maisha yako kaa nae mbali kwa sababu hakuna utakachonufaika kutoka kwake zaidi ya kukupotezea muda na hela tu.

A woman is liability in your life, more women in your life more liabilities.
We jamaa nimekuwa nakifuatilia Sana nyuzi zako unamadini Sana na Kuna watu unawapiga kwenye mshono ndio maana wanakupinga .hongera na usichoke kutusanua
 
Pamoja na ubinafsi tulio nao sisi binadamu wote, yaani mimi nitapata nini kwako na wala si wewe utapata nini kwangu, pia kuna kauli ya kwamba usimuonee huruma mwanamke, na nyingi zinazo mtahadhausha mwanaume dhidi ya mwanamke, mimi binafsi naweza kukataa hoja yako , si moja kwa moja ila juwa maisha ya binadamu yanafungwa katika furaha, na furaha inapatikana kwa vingi na moja wapo ya furaha ni kutoa ama kumpa yoyote akuombaye.

Labda cha kuwaambia wanaume kwamba nusu ya matatizo yote ya mwanaume yanapatikana pale anapo jihusisha na mwanamke, ila ukitoa ubinafsi na kujipendelea hatuwezi kuenda na falsafa zako mleta mada dhidi ya mwanamke ingawa zina hoja inayo paswa kuungwa mkono .
Sawa, tengeneza circle kubwa ya wanawake
 
Huyu Mshangazi ndio ile mishangazi iliyochokaaaaaa imeungua na cream kwa kutumia mikorogo ya 500 ya manzese, ngozi rangi 2 kama tetracycline au amoxyline, yale yana pika chapat uswahili
Mkuu mimi na wewe tunaheshimiana sana nilitaka nikutukane kwa leo tu
Yaani hukuona vitu vingine vya kutaja mpaka ukataja chapati??
Ungetaja hata utumbo wa kuku ambao majority hatuli zaidi ya hao hao akina mwajuma ndala ndefu..
Chapati wahuni karibia wote tunazinunua sana kwaajili ya maharage na supu man umesababisha nikataka kutapika yaani ulivyoiasociate na hao watu.
 
Hii ni kweli Mungu anisaidie niondokane nayo
kwa nguvu zangu siwezi jaman shida mipododo na mimi ndo maradhi yangu
Na hiyo mipododo ina chemba maalum ambapo ukifichwa humo ukiulizwa kwenu wapi kama ni Makambako utajibu kibororoni
Endelea kufuatilia mipododo uone kama kuna jipya utavuna zadi ya kuwekewa mpira wa mikojo..
 
Back
Top Bottom