Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Kunani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kunani?
Vipi huyu jamaa unaweza kupimana ubavu maana nawe si habaUwe unaniita ukianza kurusha makombora 🤣🤣🤣
Soma mada ya rafiki yako😅😅Kunani?
😂😂😂 Mimi ukorofi nimeacha ss hivi nimeokoka..Vipi huyu jamaa unaweza kupimana ubavu maana nawe si haba
Na kwanini umlee mtu ambaye bado amebeba jina la ukoo wa baba yake?Sasa ukimuomba demu namba ya simu tu ni kama vile umesaini mkataba wa ku-adopt mtoto kituo cha watoto yatima.
Huyu kadata hata sihitaji kumsomaSoma mada ya rafiki yako😅😅
Ukisema umeokoka maana yake umekua kichaa sema kivingine bana🤣😂😂😂 Mimi ukorofi nimeacha ss hivi nimeokoka..
Wamkwichy kilichobaki 🤣🤣Huyu kadata hata sihitaji kumsoma
🤣🤣🤣 nakuaje kichaa sasa??Ukisema umeokoka maana yake umekua kichaa sema kivingine bana🤣
Unafikiri kupingana na nature mchezo lazima zifyatukeWamkwichy kilichobaki 🤣🤣
NImeuliza,huyu jamaa ana tatizo gani?? Naona wanaume wenzangu wameni attack kwa kuuliza hivyo,embu ona thread zake.Huyu kadata hata sihitaji kumsoma
Huyu anachofundisha wenzie wawe mashoga, sasa km mwanaume anaambiwa asiwe karibu na wanawake anataka wawe karibu na nani?? 😂😂Unafikiri kupingana na nature mchezo lazima zifyatuke
Kitandikwe kijamvi tuchome udi abebwe 😂😂NImeuliza,huyu jamaa ana tatizo gani?? Naona wanaume wenzangu wameni attack kwa kuuliza hivyo,embu ona thread zake.
View attachment 3095752
Ulokole noooooo😅🤣🤣🤣 nakuaje kichaa sasa??
Anaonekana ana matatizo ya kisaikolojia.Apewe msaada.!Kitandikwe kijamvi tuchome udi abebwe 😂😂
Tatizo hana ajira, akipata ajira tatizo lake litaisha trust me bro 🤣🤣Anaonekana ana matatizo ya kisaikolojia.Apewe msaada.!
Mungu kamuumba mwanaume ili atafute pesaa,……
Mungu kumuumba mwanamke ili atumie izo pesaa %%%%@#+
Hio nazani ni nyimbo ya za mafik inaitwaaa tumiaaa tumiaaa tumiaa zikozoeee
Hilo tako ni og halijakachuliwa hata kidogo 😋😋😋