Epuka kuwa na circle kubwa ya wanawake

Ni kweli Aisee,hawaishiwi matatizo
 
Ndio maana wanaume wengine huamua kuishi Kama "HAWAPO" unampata chakata mbususu/ papuchi kimbia (Hit & Run)

Umaskini ni mbayabsana na upigwe vita kwa kila Hali na Mali.
 
Kwani akiomba lazima umpe? yaani hata meseji ya "Najisikia vibaya leo" jibu lake ni jitahidi ukapime isijekuwa malaria hiyo unaweka kituo.
 
Halafu wanawake sometimes huwa wanasevu sana, haujajua tu ukijitilisha huruma atakopa vikoba akupe utatue shida yako hata kama hamna mahusiano yoyote zaidi ya urafiki au atapiga mzinga kwa msela wake huko akupe, ishi nao kwa akili tu mkuu utakula mema ya nchi
 
Hao Wapo Ila maishabora sio wale changanyikeni ogopa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…