Hypersonic WMD
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,337
- 1,876
Kusema huna Kazi ni Uzembe kabisa mkuu!Wakuu
Ukiulizwa unapiga mishe gani we wambie watu unapga kazi fulani.
Usiwambie sina kazi wanaanza kukuepuka
Kumbuka kua
1.Kila mtu anahitaji mchongo
2.Kila mtu anahitaji connection
3.kila mtu anajisogeza kwa mwenye uafadhari
4.Kila mtu anataka ajuane na mtu mwenye msaada hata kwa baadae
5.Kila mtu anataka mtu useful
Sometimes watu wanatafuta watu au mtu wakumpunguza kwenye circle hasa useless
NB ISHI NAYO HII UTANISHUKURU
umeonaKusema huna Kazi ni Uzembe kabisa mkuu!
Hujawai kosa we mchongoKwahio uwe muongo muongo ? Unajuaje kama mchongo utakaopewa ni hio kazi ? Sasa hauna kipato alafu unataka upewe mkopo utarudisha vipi ?
Nadhani huu uongo uongo ndio umefanya watu kukosa imani na watu...; Be Yourself sio kwa maigizo kwahio hata hizo circles za watu ambao wanakusogelea sababu una kitu fulani ni vema ukaziondoa mapema tu (bora kuwa na watu genuine wawili au mmoja kuliko mlolongo wa Fakers)
Kijana we umekomaa kiakili utapitia K VANT kubwa baadaeUko sahihi. Shida zako ziishie chumbani kwako. Ukitoka vaa vizuri, kuwa mchangamfu huku ukitabasamu na epuka kuongelea shida zako. Ukikutana na watu ongelea ishu zao positively badala ya kuongelea ishu zako. Ukipata bahati ya kukutana na matajiri jizuie kuwapiga mizinga au kuonyesha kiashiria chochote cha tamaa. Kwa mfano umekutana nao sehemu ya starehe wakakupa ofa agiza hata maji tu na sio kukimbilia vitu vya gharama.
Sikatai kabisa unalosema appearance matters and cloths makes a pirate..., ila point yangu ni kwamba conscious wise kudanganya vitu kama haujazoea pia ni mzigo (na kuishi fake life pia ni shida) kwahio ndio maana nasema if you can be real try to be.....Hujawai kosa we mchongo
Wenye experince watanielewa
Huwezi kua mkweli kwa kila mtu
Hata kazi za nyumbani ni kazi. Bora useme ninafanya kazi za nyumbani kuliko useme huna kazi kabisa.Kwahio uwe muongo muongo ? Unajuaje kama mchongo utakaopewa ni hio kazi ? Sasa hauna kipato alafu unataka upewe mkopo utarudisha vipi ?
Nadhani huu uongo uongo ndio umefanya watu kukosa imani na watu...; Be Yourself sio kwa maigizo kwahio hata hizo circles za watu ambao wanakusogelea sababu una kitu fulani ni vema ukaziondoa mapema tu (bora kuwa na watu genuine wawili au mmoja kuliko mlolongo wa Fakers)
Kwanza kabisa kwanini uwaambie watu maisha yako (kwahio kaa kimya) sasa ukitaka kuanza kuwaambia kwanini udanganye..., Sasa kama issue ni short term unadanganya ili upate kitu hapo naweza nikakuelewa...Hata kazi za nyumbani ni kazi. Bora useme ninafanya kazi za nyumbani kuliko useme huna kazi kabisa.
UmenenaWakuu
Ukiulizwa unapiga mishe gani we wambie watu unapga kazi fulani.
Usiwambie sina kazi wanaanza kukuepuka
Kumbuka kua
1.Kila mtu anahitaji mchongo
2.Kila mtu anahitaji connection
3.kila mtu anajisogeza kwa mwenye uafadhari
4.Kila mtu anataka ajuane na mtu mwenye msaada hata kwa baadae
5.Kila mtu anataka mtu useful
Sometimes watu wanatafuta watu au mtu wakumpunguza kwenye circle hasa useless
NB ISHI NAYO HII UTANISHUKURU
Msaada sawa, ila ukikopa wakati huna kazi wala chanzo cha fedha utakuwa unataka kuwa tapeli. Labda kama unakopa kutafuta nauli ya kuhama na kijificha.Wakuu
Ukiulizwa unapiga mishe gani we wambie watu unapga kazi fulani.
Usiwambie sina kazi wanaanza kukuepuka
Kumbuka kua
1.Kila mtu anahitaji mchongo
2.Kila mtu anahitaji connection
3.kila mtu anajisogeza kwa mwenye uafadhari
4.Kila mtu anataka ajuane na mtu mwenye msaada hata kwa baadae
5.Kila mtu anataka mtu useful
Sometimes watu wanatafuta watu au mtu wakumpunguza kwenye circle hasa useless
NB ISHI NAYO HII UTANISHUKURU
Umenena vyema.Wakuu

Kuna watu wakijua huna kazi hata kukupokelea simu zako hawapokeiMsaada sawa, ila ukikopa wakati huna kazi wala chanzo cha fedha utakuwa unataka kuwa tapeli. Labda kama unakopa kutafuta nauli ya kuhama na kijificha.
kunya k vantUmenena vyema.
🤝Umenena