Hypersonic WMD
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,337
- 1,876
- Thread starter
- #21
Mm au wwMawazo yako yameishia kwenye kukopa tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm au wwMawazo yako yameishia kwenye kukopa tu?
Kwahiyo ukiulizwa unafanya kazi gani ujibu niko tu sifanyi kazi? Kufanya kazi za nyumbani ni kudanganya??Kwanza kabisa kwanini uwaambie watu maisha yako (kwahio kaa kimya) sasa ukitaka kuanza kuwaambia kwanini udanganye..., Sasa kama issue ni short term unadanganya ili upate kitu hapo naweza nikakuelewa...
Mfano kuna Muhindi mmoja UK kipindi kile ilibidi abadilishe jina ajiite Smith (watu wasijue ni muhindi) alafu akakodi store ya janitor kwenye jengo kubwa huko Mayfair ili kwenye contacts ionekane amekodi kwenye jengo la gharama (kufanya hivyo akapata kazi kutoka hata kwa wazungu) kwa ile biasness asingefanya hivyo asingefanikiwa
Muleba New City PlanWakuu
Ukiulizwa unapiga mishe gani we wambie watu unapga kazi fulani.
Usiwambie sina kazi wanaanza kukuepuka
Kumbuka kua
1.Kila mtu anahitaji mchongo
2.Kila mtu anahitaji connection
3.kila mtu anajisogeza kwa mwenye uafadhari
4.Kila mtu anataka ajuane na mtu mwenye msaada hata kwa baadae
5.Kila mtu anataka mtu useful
Sometimes watu wanatafuta watu au mtu wakumpunguza kwenye circle hasa useless
NB ISHI NAYO HII UTANISHUKURU
Watu wakogo wambea kuna mtu atakupigia ajue unafanya nn sasa iviKwanza kabisa kwanini uwaambie watu maisha yako (kwahio kaa kimya) sasa ukitaka kuanza kuwaambia kwanini udanganye..., Sasa kama issue ni short term unadanganya ili upate kitu hapo naweza nikakuelewa...
Mfano kuna Muhindi mmoja UK kipindi kile ilibidi abadilishe jina ajiite Smith (watu wasijue ni muhindi) alafu akakodi store ya janitor kwenye jengo kubwa huko Mayfair ili kwenye contacts ionekane amekodi kwenye jengo la gharama (kufanya hivyo akapata kazi kutoka hata kwa wazungu) kwa ile biasness asingefanya hivyo asingefanikiwa
Maisha yamebadirika sana siku hizi.Kwahio uwe muongo muongo ? Unajuaje kama mchongo utakaopewa ni hio kazi ? Sasa hauna kipato alafu unataka upewe mkopo utarudisha vipi ?
Nadhani huu uongo uongo ndio umefanya watu kukosa imani na watu...; Be Yourself sio kwa maigizo kwahio hata hizo circles za watu ambao wanakusogelea sababu una kitu fulani ni vema ukaziondoa mapema tu (bora kuwa na watu genuine wawili au mmoja kuliko mlolongo wa Fakers)
fake it until you make it….Ishi real,hakuna maana ya ku fake uwalisia.that why i just call my self B'real,siwezi kuwa chawaa,au nisemee na mishe bandari wakati sina kitu,bora nikakomae road as chingaa,niuze kukuchoma road jioni.vijana wengi tunaishi fake life
Aliyesema UISHI REALIshi real,hakuna maana ya ku fake uwalisia.that why i just call my self B'real,siwezi kuwa chawaa,au nisemee na mishe bandari wakati sina kitu,bora nikakomae road as chingaa,niuze kukuchoma road jioni.vijana wengi tunaishi fake life
Sahihi, usikitweze/ kujishusha au kulia lia. Lakini pia usikimbilie kukopa. Kwa kuwa huna cha kulipa wakianza kukudai na huna utaimbuka mapema na kudhalilika kabisa. Komaa kiume.Kuna watu wakijua huna kazi hata kukupokelea simu zako hawapokei
Utakua unakosa mengi
Muleba New City Plan
Baada ya mradi wa kigamboni kukataliwa vilivyo sasa mtanzania msomi kapewa dola za marekani $150,000,000,000 kwa ajili ya kusimika jiji kwenye wilaya ya Muleba kagera..
Project kama ya Kigamboni kasolo jina tuu.. Kama ilivyoada ya mtanzania hataki kitu lakini anakipambania kwa asilimia 100..
Ajira za masaveya, mafundi, maenginner kupanda kwa asilimia 300.. Tatizo la Ajira litapungua.. Mradi utatekelezwa kwa siku zaidi ya 12000.
Mradi unatarajia kuanza mwezi desemba 2024.. Mungu anaipenda sana Tanzania mambo mazuri kuelekea Muleba, Kagera karibu kabisa na Rwanda na Uganda
Elimu dili tusome jamani
View: https://youtu.be/xVkzmOVRyKo?si=wRj0MUCzODAODGhW
UsijitwezeSahihi, usikitweze/ kujishusha au kulia lia. Lakini pia usikimbilie kukopa. Kwa kuwa huna cha kulipa wakianza kukudai na huna utaimbuka mapema na kudhalilika kabisa. Komaa kiume.
Kukopa lazimaSahihi, usikitweze/ kujishusha au kulia lia. Lakini pia usikimbilie kukopa. Kwa kuwa huna cha kulipa wakianza kukudai na huna utaimbuka mapema na kudhalilika kabisa. Komaa kiume.
Anayeniuliza ni nani ? unaweza kusema napiga issue za hapa na pale napambana au kama una skill unaweza kusema skill yako ila kwa sasa biashara / kazi ngumu...Kwahiyo ukiulizwa unafanya kazi gani ujibu niko tu sifanyi kazi? Kufanya kazi za nyumbani ni kudanganya??
Ukiwa real hata watu utakaokuwa una associate nao watakuwa real..., na nimesema tangia mwanzo kutangaza shida zako kwa watu ni upuuzi na kuwasumbua watu / kuwakera...Maisha yamebadirika sana siku hizi.
Ukijifanya uko real sana na ukaendekeza umaskini na kila mmoja unamtangazia shida zako utaendelea kubaki hivyo hivyo.
Nawewe kazi yako chawa wa mama!!Hata kazi za nyumbani ni kazi. Bora useme ninafanya kazi za nyumbani kuliko useme huna kazi kabisa.
Hivi mpaka leo kuna watu wanaishi maisha ya kijima kwamba kazi lazima asubuhi uamke ugombee daladala ndio uende kazini?Anayeniuliza ni nani ? unaweza kusema napiga issue za hapa na pale napambana au kama una skill unaweza kusema skill yako ila kwa sasa biashara / kazi ngumu...
By the way huyo anayeuliza anataka kunipa mchongo au ? Kwahio useme unafanya kazi za nyumbani wakati hufanyi kazi za nyumbani ?
Issue ni kwamba kama mtu hana msaada au anakuuliza mfanye mchongo fulani sio lazima ajue maisha yako.., na kama ni mtu wako wa karibu obvious atakuwa anajua unachofanya au eventually atajua... sio mpaka aulize
Kufanyia kazi Nyumbani na kufanya kazi za Nyumbani ni vitu viwili tofauti..., ila that is beside the point kama mtu haji kwako kuomba chumvi kufuatilia maisha yake ni kukosa kazi....Hivi mpaka leo kuna watu wanaishi maisha ya kijima kwamba kazi lazima asubuhi uamke ugombee daladala ndio uende kazini?
Hamuwezi kuishi online na ofisi zikawa majumbani kwenu?
Watanzania wengi hawajui kwamba ulimwengu tuliomo pesa ndio inatakiwa ikufanyie kaziKufanyia kazi Nyumbani na kufanya kazi za Nyumbani ni vitu viwili tofauti..., ila that is beside the point kama mtu haji kwako kuomba chumvi kufuatilia maisha yake ni kukosa kazi....