Epuka kuwambia watu huna kazi au huna mchongo! Hutapata wa kukukopesha wala kukusaidia

Mkuu uko sahihi Sana, au wanafikiri kuamka asubuhi Sana ndio kupata fedha
Hivi mpaka leo kuna watu wanaishi maisha ya kijima kwamba kazi lazima asubuhi uamke ugombee daladala ndio uende kazini?

Hamuwezi kuishi online na ofisi zikawa majumbani kwenu?
 
Upo sahihi kabisa ku fake life ni mzigo..
unawachek wana mwishowe hawapokei simu unawadelete, ukitoboa baadae wao wanakuchek unaona nmba mpya unapokea unauliza we nani?..unakata simu then una mblacklist

Show imeisha!
 
Hujawahi kushikwa njaa ya kufa chief
 
Kusema huna kazi, nikosa jinai.
 
Hujawahi kushikwa njaa ya kufa chief
Mkuu sio kitu kizuri kujisifia kupita kwenye shida ila nikuhakikishie nimepita kwenye nyakati ngumu sana wakati fulani kwenye maisha yangu. Mimi kinachonisaidia sio kulia kuwa sina kazi. Huwa nafanya yoyote ya halali iliyoko mbele yangu. Hiyo njaa ya kufa humpata mvivu.
 
Kuna watu wanaamini kuwa na kazi ni mpaka uajiriwe serikalini..ukiajiriwa sekta binafsi au mfanya biashara bado watakuita huna kazi..mi nshaikubali hiyo na nikiulizwa kazi nawambia sina kazi ..kwanza unaepuka mizinga isiyo na maana
 
hao ni machizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…