Epuka kuzama kwenye penzi na mwanamke wa mtandaoni

Rebuild

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2020
Posts
3,739
Reaction score
7,444
Habari ndugu zangu.

Wewe mwanaume mwenzangu usije ukazama kabisa penzini na mwanamke uliyekutana naye katika mitandao ya kijamii Hadi ukafikia hatua ya kutaka kumuoa.

Mmekutana huko mkaanza mapenzi siku mkikutana macho macho kula kitumbua fresh kabisa lakini usiingie mazima "UTAJUTA"

Sasa wewe kaza fuvu Tu.
 
Uko sahihi mzee. Wengi wa hawa vimeo wa mtandaoni "wemeungua" au wana UTI sugu: ukipiga tu na wewe umeungwa kwenye grid ya Tanesco.

Halafu ni washari balaa.

Ukimpiga kizembe kizembe hakawii kukuambia: hujui ku..mba, una kibamia, unanitia shombo, au yaani kimoja tu chali au mwamme suruali etc.
 
Habari ndugu zangu.

Wewe mwanaume mwenzangu usije ukazama kabisa penzini na mwanamke uliyekutana naye katika mitandao ya kijamii Hadi ukafikia hatua ya kutaka kumuoa.

Mmekutana huko mkaanza mapenzi siku mkikutana macho macho kula kitumbua fresh kabisa lakini usiingie mazima "UTAJUTA"

Sasa wewe kaza fuvu Tu.
Sema kilichokukuta ili tahadhari iwe na supportive document
 
Wanawake wa mtandaoni si ndiyo hao hao dada zako hapo nyumbani?
Miaka ya 2014 kuelekea 2015 nilipata dada mmoja mzuri mwenye shape yake humu humu alikuwa anatokea mlandizi akaomba nimtumie nauli nikamuuliza sh.ngap akasema elf 10 tu, nikasema potelea mbali hata akila elf 10 basi, ile nimemtumia baada ya saa moja na nusu ananipigia nikifuate kituoni amefika nikashangaa kumbe kuna wanawake hawali nauli jamani, basi nikajibebea mtoto mpaka mageton akalala siku zilizofuata akawa anakuja mwenyewe hata nauli situmi
 
Not only but also
Either or
Neither or
Soo....that
Mademu ni watamu sana ujumbe wako Haina jibu la moja Kwa moja maan unawez pata wakufananae
 
Habari ndugu zangu.

Wewe mwanaume mwenzangu usije ukazama kabisa penzini na mwanamke uliyekutana naye katika mitandao ya kijamii Hadi ukafikia hatua ya kutaka kumuoa.

Mmekutana huko mkaanza mapenzi siku mkikutana macho macho kula kitumbua fresh kabisa lakini usiingie mazima "UTAJUTA"

Sasa wewe kaza fuvu Tu.
Huyu niliyempata humu JF nitakomaa naye hadi kieleweke.
Sipokei ushauri wa yoyote hata uwe wa Mod
 
Back
Top Bottom