Epuka kuzama kwenye penzi na mwanamke wa mtandaoni

Epuka kuzama kwenye penzi na mwanamke wa mtandaoni

Uko sahihi mzee. Wengi wa hawa vimeo wa mtandaoni "wemeungua" au wana UTI sugu: ukipiga tu na wewe umeungwa kwenye grid ya Tanesco.

Halafu ni washari balaa.

Ukimpiga kizembe kizembe hakawii kukuambia: hujui ku..mba, una kibamia, unanitia shombo, au yaani kimoja tu chali au mwamme suruali etc.
Daah
 
Habari ndugu zangu.

Wewe mwanaume mwenzangu usije ukazama kabisa penzini na mwanamke uliyekutana naye katika mitandao ya kijamii Hadi ukafikia hatua ya kutaka kumuoa.

Mmekutana huko mkaanza mapenzi siku mkikutana macho macho kula kitumbua fresh kabisa lakini usiingie mazima "UTAJUTA"

Sasa wewe kaza fuvu Tu.
Kwa nini jamani
 
Alafu mwanamke huyo huyo ukikutana nae kanisani je? Ishu ni kukutana nae mahali au tabia za huyo mwanamke??

Ukikutana nae mtandaoni anakuwa kichaa/malaya ila same mwanamke ukikutana nae makazini au kanisani anakuwa Mtakatifu
 
Back
Top Bottom