Uko sahihi mzee. Wengi wa hawa vimeo wa mtandaoni "wemeungua" au wana UTI sugu: ukipiga tu na wewe umeungwa kwenye grid ya Tanesco.Habari ndugu zangu.
Wewe mwanaume mwenzangu usije ukazama kabisa penzini na mwanamke uliyekutana naye katika mitandao ya kijamii Hadi ukafikia hatua ya kutaka kumuoa.
Mmekutana huko mkaanza mapenzi siku mkikutana macho macho kula kitumbua fresh kabisa lakini usiingie mazima "UTAJUTA"
Sasa wewe kaza fuvu Tu.
Hivi anamaanisha nini kusema anayeishi mtaani. Sote makazi yetu yapo kwenye mitaa.Nini kimekukukuta, mbona unatuchomolea battery bila sababu bro.....
Sema kilichokukuta ili tahadhari iwe na supportive documentHabari ndugu zangu.
Wewe mwanaume mwenzangu usije ukazama kabisa penzini na mwanamke uliyekutana naye katika mitandao ya kijamii Hadi ukafikia hatua ya kutaka kumuoa.
Mmekutana huko mkaanza mapenzi siku mkikutana macho macho kula kitumbua fresh kabisa lakini usiingie mazima "UTAJUTA"
Sasa wewe kaza fuvu Tu.
Wengine ni vijijini na vitongojiniHivi anamaanisha nini kusema anayeishi mtaani. Sote makazi yetu yapo kwenye mitaa.
Si ndio hapo!!! Binafsi imeniuma sanaHivi anamaanisha nini kusema anayeishi mtaani. Sote makazi yetu yapo kwenye mitaa.
Miaka ya 2014 kuelekea 2015 nilipata dada mmoja mzuri mwenye shape yake humu humu alikuwa anatokea mlandizi akaomba nimtumie nauli nikamuuliza sh.ngap akasema elf 10 tu, nikasema potelea mbali hata akila elf 10 basi, ile nimemtumia baada ya saa moja na nusu ananipigia nikifuate kituoni amefika nikashangaa kumbe kuna wanawake hawali nauli jamani, basi nikajibebea mtoto mpaka mageton akalala siku zilizofuata akawa anakuja mwenyewe hata nauli situmiWanawake wa mtandaoni si ndiyo hao hao dada zako hapo nyumbani?
Huyu niliyempata humu JF nitakomaa naye hadi kieleweke.Habari ndugu zangu.