Epuka kuzama kwenye penzi na mwanamke wa mtandaoni

Daah
 
Kwa nini jamani
 
Alafu mwanamke huyo huyo ukikutana nae kanisani je? Ishu ni kukutana nae mahali au tabia za huyo mwanamke??

Ukikutana nae mtandaoni anakuwa kichaa/malaya ila same mwanamke ukikutana nae makazini au kanisani anakuwa Mtakatifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…