Epuka sana. Ndani ya Mwezi tu umri wako unakuwa mara mbili yake. Usiombe

Wakenya sura zao ndio zilivyo, kwa taarifa yako huyo ndio handsome man kwenye familia yao, ukimwona brother wake Mrisho Mpoto haoni ndani.
 
Huyo jamaa mbona yuko poa tu sema ni mwili wa mazoezi
 
Jamaa inawezekana hata sperms hana. Atakuwa anatoa upepo tu. Kakausha mafuta yote na protein mwilini... Akitema atakuwa anatoa gesi/upepo tu. Sha sha shaa....sasa sperms unadhani atatoa wap?ikiwa anakula sement na kunywa juice ya limao. Uso kama babu.
Too much is harmful asikwambie mtu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haijakaa vyema kumsimanga binadamu mwenzako kwa muonekano wake...


Cc: mahondaw
Umenena vyema kaka,katika vitu ambavyo naogopa ni kukosoa uumbaji wa Mungu. By the way mleta mada ni achievement gani ambayo umeiletea Taifa rather than being selfish,ulivyo ni kwa ajili yako but huyo mkenya akifa kuna legacy ameiachia nchi yake.
 
Huyo ame burn calories mwilini kupitiliza

Ova
 
Kweli wewe ni mtema madini.. madini yako ukimix na mahindi ya kupalaza unapata finisher safi sana ya vifaranga...
 
Hakika umetema madini
Pia hakika uko na 40yrs.

Ila umeandika kijinga jinga.
 
Kwenyee kutunza mwili role model wangu ni maulid kitengee..kanuni ni kma 3..hvi 1..kuaa na pesaa 2..fanya mazoez.3.usilishe mwili sumu nyingi..hivooo tu..napend maish ya jamaa ..ana umri mkubwaa lakin ukiangaliaa bdo uko kma kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…