feysher
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 2,656
- 2,771
Mbona nmeelezea kama namweleza mtoto wa miaka 3?
Me sijaelewa if you dont mind
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona nmeelezea kama namweleza mtoto wa miaka 3?
Jamaa inawezekana hata sperms hana. Atakuwa anatoa upepo tu. Kakausha mafuta yote na protein mwilini... Akitema atakuwa anatoa gesi/upepo tu. Sha sha shaa....sasa sperms unadhani atatoa wap?ikiwa anakula sement na kunywa juice ya limao. Uso kama babu.Hatari sana. Unajua mambo mengine usijaribu kabisa ukadhani eti yanaweza kukusaidia. Mimi nina miaka 40 ukinicheck sababu nakula vizuri, mazoezi kiasi flani na pia sina mawazo. Unaweza dhani nipo 20s,30s. Sema tu utashtuka kwa madini nayotema.anyway hiyo siyo issue kwako.
Unamjua bwana mdogo Kipchoge? Mwanariadha aliyeweka kumbukumbu ya kukimbia kms 42 chini ya masaa mawili. ushamfahamu eeeeh? Ndo huyo sasa.
We mwenyewe mcheck. Unadhani ana umri gani?sema tu kwa mwono wako.wala haitakuwa so. Ana umri gani? Ha ha ha...huyo ni bwana mdogo tu sema ulaji wa kupitiliza wa cement na malimao ndo umemkausha hivyo. Sasa kwa taarifa yako ana miaka 34 tu. Wala Mstaafu kama unavyodhani kuwa atakuwa kwenye 60 Plus Plus huko.
Mcheck mwenyewe. Then ndo tujadiliane mambo kadhaa.
View attachment 1231194
Jamaa inawezekana hata sperms hana. Atakuwa anatoa upepo tu. Kakausha mafuta yote na protein mwilini... Akitema atakuwa anatoa gesi/upepo tu. Sha sha shaa....sasa sperms unadhani atatoa wap?ikiwa anakula sement na kunywa juice ya limao. Uso kama babu.
Too much is harmful asikwambie mtu.
😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁sura ngumu na za hovyo kama Wakenya
Umenena vyema kaka,katika vitu ambavyo naogopa ni kukosoa uumbaji wa Mungu. By the way mleta mada ni achievement gani ambayo umeiletea Taifa rather than being selfish,ulivyo ni kwa ajili yako but huyo mkenya akifa kuna legacy ameiachia nchi yake.
Huyo jamaa mbona yuko poa tu sema ni mwili wa mazoezi
Ndo maana Aliliwa na R Kell ktk umri mdogo wa 16 yrs.Age ain't nothing but a number...!
~Aaliyah.
Kkkkkkkk........!Usimseme MTU wa Mwanza huyu kbsView attachment 1231602