Maisha ni haya haya tahadhari ni muhimu lakini nadhani ni vyema kutokuwa serious sana. Lakini kama ni katika mifumo muhimu sana, naungana na mtoa mada. Tunaangalia na hasara pia.Unaweka OS official alaf unakuja ku install Program iliyo cracked ...
Ni hivi
Kuwa Attacked hakukwepeki hasa kwa wale wenye Elim ndogo ya Cyber security and how attacks are performed.
Vijana endeleen na Cracked OS nothing serious.
Kweli, sio lazima kwenda na mainstream. Hata mwenyewe ni memba wa libre office open source eaaasyMimi nimracha kutumia cracked ms office sasa natumia libre office.
Kuna jinsi unai customise inakua kama ms word.. ingia youtube search hiyo tutorial utaipataKweli, sio lazima kwenda na mainstream. Hata mwenyewe ni memba wa libre office open source eaaasy
Hili kwangu halisumbui, nakumbukaga tu kuexport kwa pdf au ms word ikiwa ni document ninayotaka kushare na mtu mwingine kuepusha inconvenience za hapa na pale.Kuna jinsi unai customise inakua kama ms word.. ingia youtube search hiyo tutorial utaipata
Youtube hamna software kule, ni bora kutafuta legit sources kama FTUApps, Gen2 na wengineo kwenye torrents. Pia ukiweka cracked windows ni vyema kuiscan upya na trusted antivirus softwares. Huku kwenye cracked software ukiingia kichwa kichwa yatakukuta mambo.Sio kila crack ina virus japo ni muhimukuchukua tahadhari..
Software ambazo zipo cracked inabidi nazo source zake ziwe za kuaminika, sio unashusha tu software kisa umeiona youtube, hapo unaweza vamia mtumbwi wa vibwengo....
Binafsi software zangu cracked huwa nazishusha kutoka team-os.com ... huku angalau kuna uadilifu na watumiaji wanatoa maoni yao wazi.
Acha uongo.Youtube hamna software kule, ni bora kutafuta legit sources kama FTUApps, Gen2 na wengineo kwenye torrents. Pia ukiweka cracked windows ni vyema kuiscan upya na trusted antivirus softwares. Huku kwenye cracked software ukiingia kichwa kichwa yatakukuta mambo.
KMSpico nooooooooo maraaaaaaaa whaaaaaaaaaaaaTufanyeje mkuu? Yaani OS ambayo inaweza ku"collapse" muda wowote niilipie Tsh 300,000.00? Hata nikifanya hivyo still nita"install" adobe package ya GB 18 ambayo ni crack, Fl Studio ambayo ni crack, Formatfactory ambayo ni crack na taka taka nyingine nyingi.
Kwasasa tupambane na KMSpico hatuna namna ππππππ
Hapana, kama unayo naomba nisaidie.ulipata ?
Ni ya mwaka 2013Hiyo microsoft ya mwaka gani .?
Unaipataje hi libreMimi nimracha kutumia cracked ms office sasa natumia libre office.