Epuka windows iliyochakachuliwa inayoweza kuwa na virusi au matatizo, piga windows original na kui activate kwa njia salama

Epuka windows iliyochakachuliwa inayoweza kuwa na virusi au matatizo, piga windows original na kui activate kwa njia salama

Unaweka OS official alaf unakuja ku install Program iliyo cracked ...

Ni hivi

Kuwa Attacked hakukwepeki hasa kwa wale wenye Elim ndogo ya Cyber security and how attacks are performed.

Vijana endeleen na Cracked OS nothing serious.
Maisha ni haya haya tahadhari ni muhimu lakini nadhani ni vyema kutokuwa serious sana. Lakini kama ni katika mifumo muhimu sana, naungana na mtoa mada. Tunaangalia na hasara pia.

Binafsi wadau wakinishambulia kwenye devices zangu sio issue, na imetokea mara nyingi tu.
 
Huku kwetu Bongo inaweza isiwe ishu sana. Nchi zilizo serious kama Marekani wakikudaka unatumia cracked software zao hiyo ni bonge la kesi.
Kule ku download tu youtube video ni kesi kubwa.
 
Kuna jinsi unai customise inakua kama ms word.. ingia youtube search hiyo tutorial utaipata
Hili kwangu halisumbui, nakumbukaga tu kuexport kwa pdf au ms word ikiwa ni document ninayotaka kushare na mtu mwingine kuepusha inconvenience za hapa na pale.
 
Binafsi huwezi niambia nikanunue windows nikakuelewa. Nina manage computer zaidi ya 200 na database pamoja na network 3. Zote zina windows za magumashi .
Mkuu ungejua namna ransom anavoingia usingekuja kuongea hapa tunaojua tunakucheka kimoyomoyo. Kifupi ulaya wanatumia genuine ila ransom alipiga huko zaidi ya kwetu. Nikiri hata mm alinipiga kwa baadhi ya mashine za co worker wenzengu nikamdhibiti mapema tu. So cracked windows sawa zina vurnability ila still huwa kuna activation ambazo zinakubali hadi updates
 
Windows iliyochakachulia kweli kwa ethics za IT sio vizuri kutumia ila who can afford to buy
 
Sio kila crack ina virus japo ni muhimukuchukua tahadhari..

Software ambazo zipo cracked inabidi nazo source zake ziwe za kuaminika, sio unashusha tu software kisa umeiona youtube, hapo unaweza vamia mtumbwi wa vibwengo....

Binafsi software zangu cracked huwa nazishusha kutoka team-os.com ... huku angalau kuna uadilifu na watumiaji wanatoa maoni yao wazi.
Youtube hamna software kule, ni bora kutafuta legit sources kama FTUApps, Gen2 na wengineo kwenye torrents. Pia ukiweka cracked windows ni vyema kuiscan upya na trusted antivirus softwares. Huku kwenye cracked software ukiingia kichwa kichwa yatakukuta mambo.
 
Acha uongo.
 
Tufanyeje mkuu? Yaani OS ambayo inaweza ku"collapse" muda wowote niilipie Tsh 300,000.00? Hata nikifanya hivyo still nita"install" adobe package ya GB 18 ambayo ni crack, Fl Studio ambayo ni crack, Formatfactory ambayo ni crack na taka taka nyingine nyingi.

Kwasasa tupambane na KMSpico hatuna namna 😂😂😂😂😂😂
 
KMSpico nooooooooo maraaaaaaaa whaaaaaaaaaaaa
 
Crack ambayo ni virus ina kua na mb ndogo sana labda idm ina mb 49 crack yake feki utakuta ina kb au mb 2
 
Mnisaidie na mimi PC yangu inadai kurepair
20240718_090415.jpg
 
Back
Top Bottom