PCGAMES
JF-Expert Member
- Apr 11, 2013
- 782
- 1,157
Maisha ni haya haya tahadhari ni muhimu lakini nadhani ni vyema kutokuwa serious sana. Lakini kama ni katika mifumo muhimu sana, naungana na mtoa mada. Tunaangalia na hasara pia.Unaweka OS official alaf unakuja ku install Program iliyo cracked ...
Ni hivi
Kuwa Attacked hakukwepeki hasa kwa wale wenye Elim ndogo ya Cyber security and how attacks are performed.
Vijana endeleen na Cracked OS nothing serious.
Binafsi wadau wakinishambulia kwenye devices zangu sio issue, na imetokea mara nyingi tu.