Erasto Mfugale: Kilichotokea kazini sisi hatujui

Sawa mkuu hapo nimekuelewa.ila for the record ni kwamba hao ndugu zangu walifariki wakati wa mwenda zake pia. Haya mengine hufanywa na watu wa chini kabisa
 
Sawa mkuu hapo nimekuelewa.ila for the record ni kwamba hao ndugu zangu walifariki wakati wa mwenda zake pia. Haya mengine hufanywa na watu wa chini kabisa
Ooh maskin. Pole sana. Pole mno. Hata sisi jamaa yetu bwana. Sema alileak info. Ni simu tu na kuchukua mwili na basi.

No matter mtu simpendi kiasi gani, mauaji kwangu hapana. Na ubaha haya yatapelekea visasi. Tatizo unapigana na watu huwaoni wala humjui. Ndo maana naamini kukaa nje ya mfumo ni salama sana kwako na kwangu. Inside jobs zinauniza sana.
 
Ahsante sana Mkuu, umesema kweli kabisa. Ila ndio maisha yalivo hayo.watu walikubali ku move on wakaacha kufuatilia.
 
Wakaambiwa alifia kazini. Hospitali nao wakasema hawajui ugonjwa uliomuuwa.
Hiyo ni hospitali kweli?

Postmortem wamefanya, inasemaje?

Wamepima corona kuhakikisha haikuchangia au kuhusika na kifo?

Wamechukua sampuli kujuwa sumu haihusiki?

Huko kazini, alikula/kunywa nini, na nani?

Hao hospitali wanahadaa watu tu, sema hawataki kueleza kilichomuua Mfugale.

Lakini hata ndugu zake wasiambiwe; halafu wakubali tu kuzika ndugu yao kukiwa na mkanganyiko wa namna hiyo?

Halafu yaishie hapo, wabaki tu wakilalamikia pembeni? Sidhani.

Ni lazima wanajua kilichomuua, na wakaridhia na sababu hiyo na kuzika ndugu yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…