Erasto Mfugale: Kilichotokea kazini sisi hatujui

Erasto Mfugale: Kilichotokea kazini sisi hatujui

Ripoti ya siieigii,

Labda ni presha.

Katonywa juu ya kinachojiri,

Akashindwa kuhimili.

Pole Kwa wafiwa.
 
Kufariki kwa mwanadamu si lazima hadi aumwe...

Wapo watu wanaofariki kwa amani kabisa bila mateso wala ugonjwa..

..hakuna kifo ambacho hakina maelezo ya kitabibu / sayansi.

..Mtu anapokufa maana yake mwili ulipata hitilafu iliyopelekea organs zake kuacha kufanya kazi / kutaka mawasiliano.
 
Ah kumbe alikuwa anakaa hapo temboni

Okay

Any way poleni kwa msiba

Ova
 
Huyu jamaa anataka kuaminisha umma kwamba amemalizwa ama? Mfieew.
Ndo kuna wale hufariki kwa heart attack utasikia katupiwa jini.

Just because alikua inner cycle ya jiwe ndo asife? Sote ndo njia yetu.

May the family accept this.
 
Alitegemea kifo kimpe taarifa? Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina la Mungu lihimidiwe.

Watao salamu za rambirambi wanakuja na mibarakoa wakifika kwenye microphone wanaivua. Microphone hiyo hiyo moja kwa wote wala hakuna cha juhudi za kuidisinfect. Ngoja Mungu wa Mbinguni aendelee kuwafanya kichekesho cha dunia hii.
Muuulize ..,.veep kuchangia microphone ukiwa umetoa barakoa yenyew inaruhisw
 
Kitendo Cha kukata roho Ni process ndefu mno sio kirahisi Kama mnavyodhani hapa duniani watu wengi wanazikwa wakiwa wazima pengine n kuzimia tuu.

Mfano yule mchezaji wa Denmark Christian eriksen moyo ulisimama lakini wataalamu wa afya walifanya waliwezalo Sasa kwa hapo ndo ujue umauti n mchakato mkubwa mno kwa mwanadamu jaribu kumuua panya uone kisha uje hapa tena.
 
Kwanza naona fresh tu. Ndugu yetu tulikua tunamdai zaidi ya miaka 10 wamejificha tu wanakula macconection ya biashara na tenda hawatulipi na marehem hawatulipi ya kazi gani na daily vistatus vya shangwe.

Ndo maana mwendazake wa chattle alivyoondoka status zilikua nyingi wasap walijua kimeshaumana. Tulipane hela zetu tafadhali. Mulikua munaenjoy maisha sana ila hela hamtulipi. Ikibidi tutozane kwa riba sasa.
 
Erasto Mfugale: samahani sana na pole kwa msiba huu mzito kwa familia na taifa kwa ujumla.

Ila huo wasiwasi kuwa hamkujua kilichotokea ofisini ni wa nini! Mbona Engineer alikuwa ni mgojwa wa muda mrefu tuu, pia hata umri wake ulikuwa umeshaenda sana.

Hakuna hujuma zozote hii ni natural death kama death nyingine, pia hakuna uhasama wowote na mtu yeyote dhidi ya marehemu.

Kwa umri huo hatutakiwa kumdhihaki maulana au mtu yoyote kwa kifo.

Nawapa pole sana kwa msiba huu na Mungu awape wepesi kipindi hiki kugumu.
 
Back
Top Bottom