Erasto Mfugale: Kilichotokea kazini sisi hatujui

Erasto Mfugale: Kilichotokea kazini sisi hatujui

Jana hapa,watu walikuwa wakishangiria akina Shelukindo kuachiwa wakati walikula ela za wananchi, Sasahivi majizi yote yaliyokuwa yamewekwa ndani yameachiwa kwa kasi, Sasahivi kama una ela yako hauguswi, maana utavuruga uchumi ambao unatengenezwa,labda kama ulikuwa timu Magufuri.
Thibitisha tuhuma zako!! Acha wivu wa kiana
 
Alitegemea kifo kimpe taarifa? Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina la Mungu lihimidiwe.

Watao salamu za rambirambi wanakuja na mibarakoa wakifika kwenye microphone wanaivua. Microphone hiyo hiyo moja kwa wote wala hakuna cha juhudi za kuidisinfect. Ngoja Mungu wa Mbinguni aendelee kuwafanya kichekesho cha dunia hii.

Mungu kazi yake ni kufanya wengine vichekesho na kutoa adhabu tu? Hapo hapo mnasema Mungu ni mwenye huruma na mwenye nguvu zote. Kazi sana kumuelewa Mungu wenu.
 
Mbona afya haikuwa imara na alishawahi kapata stroke akalazwa muhimbili kutoka chanzo cha familia. Sasa nashangaa huyo mdogo maelezo yake.
 
Erasto Mfugale: Kusema kweli hatukuwa tumepata taarifa dhahiri hata imetokea nini kwasababu mimi Jumapili iliyopita nilikuwa kwake Temboni, nimekuwa na mazungumzo naye mpaka saa saba usiku lakini akaniambia kesho nina kikao kidogo kule Dodoma, kwahiyo nitatoka na ndege ya mchana. Nikamuaga nikasema naenda.

Alivyokuwa kule, mtoto wake Aron Mfugale alikuwa anaumwa pia akamtakia hali. Asubuhi amepata chai pale nyumbani kwake Dodoma, akatoka kwenda kazini.

Sasa kilichotokea kazini sisi hatujui, mwisho wa siku nashkuru wizara ya ujenzi kupitia Edgar Msigala nikapigiwa simu lakini akaona hatuelewani, baadae Hija akapiga simu na akaniambia moja kwa moja Engineer amefariki dunia, nilikuwa barabarani Bagamoyo, nilitaka nigongwe na gari maana sikuwa nimetegemea kwasababu jana yake mimi nimekuwa na dada yangu, Frida Mfugale alikuwa na andiko, akasema mimi silielewi peleka kwa kaka yako, Frida ilikuwa aje Bagamoyo kwaajili ya usaidizi wa hilo andiko ili liwe andiko makini.

Basi ni maajabu, sijui kimetokea nini. Tumefika jana Dodoma, tunawashkuru serikali, tumeenda hospitali, tumefatilia ile nyaraka, wanasema hatujui ugonjwa, sasa kulikoni?

Mgonjwa alikuja ameshafariki, alikuwa wapi? Baadae habari zinasemekana alikuwa kazini, sisi hatukuelewa kabisa, tukaendelea kuchanyikiwa, kusema kweli ilituuma kweli lakini hata hivyo Binadamu njia yake ni moja.

PIA, SOMA=> Waziri Chamurilo: Familia(Mfugale) wameonyesha ombwe kwamba ilikuwa haifahamu, Mhandisi Mfugale alisema anajisikia vibaya kikaoni


Cha mfugale watu hawakijui, Cha JPM watu hawakijui na John Kijazi pia watu hawakijui. Sasa inakuwaje? Haya ni baadhi ya maswali ambayo majibu yake tutayapata kwenye kampeni za uchaguzi mkuu 2025.
 
Dah pole kwa familia, Erasto alikuwa Mkurugenzi alitumbuliwa na Mwendazake
 
Dah So painful mwagito sweeelaa ela tuilekelage Inguluvi ye imagava

Dah So painful mwagito sweeelaa ela tuilekelage Inguluvi ye imagava
Swela nyee.....Ulongite lunofu mwagito!!
 
Back
Top Bottom