Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Rais wa Uturuki katikati ya vita vya Gaza alitangaza ataingia Israel ili kuizuia Israel isiendelee kuwaua wapalestina,
Hilo jambo hakulifanya kamwe.
Anachokifanya sasa kuwapa silaha waasi na mamluki wa Marekani ili kumpinuda Bashar Al Assad ni msaada mkubwa kwa Israel ambaye imechanganyikiwa kutokana na nguvu za mapigano ya Hizbullah.
Netanyahu ameelewa kuwa hatawaweza Hizbullah ambao wamekuwa wa mwanzo kuleta kizaa zaa katikati ya Tel Aviv na miji yote ya Israel.Amegungua nguvu kubwa ya Hizbullah inatoka Iran kupitia Syria.
Israel imepiga vituo vyote vya mipaka na bado silaha na wapiganaji wanamiminika Lebanon kuungana na wenzao wa Hizbulah.
Anachokifanya Erdogan ni msaada wa moja kwa moja kwa Israel kuipa nafuu kutokana na kipigo kinachowasaburi katika duru zinazofuatia.