Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Geopolitics hizo...Rais wa Uturuki katikati ya vita vya Gaza alitangaza ataingia Israel ili kuizuia Israel isiendelee kuwaua wapalestina,
Hilo jambo hakulifanya kamwe.
Anachokifanya sasa kuwapa silaha waasi na mamluki wa Marekani ili kumpinuda Bashar Al Assad ni msaada mkubwa kwa Israel ambaye imechanganyikiwa kutokana na nguvu za mapigano ya Hizbullah.
Netanyahu ameelewa kuwa hatawaweza Hizbullah ambao wamekuwa wa mwanzo kuleta kizaa zaa katikati ya Tel Aviv na miji yote ya Israel.Amegungua nguvu kubwa ya Hizbullah inatoka Iran kupitia Syria.
Israel imepiga vituo vyote vya mipaka na bado silaha na wapiganaji wanamiminika Lebanon kuungana na wenzao wa Hizbulah.
Anachokifanya Erdogan ni msaada wa moja kwa moja kwa Israel kuipa nafuu kutokana na kipigo kinachowasaburi katika duru zinazofuatia.
Ni sambamba na hivyo, ni sawa na PROBLEM- REACTION - SOLUTIONKwamba ndio mambo ya order out of chaos sio?
Erdogan ni hatari sana, huwa haeleweki. Ila nahisi kwa Ulaya Uturuki inajipambanua sana katika power za hapa na pale. Halafu inawezekana wale waasi wanaoishambulia Uturuki walikuwa wamejificha SyriaRais wa Uturuki katikati ya vita vya Gaza alitangaza ataingia Israel ili kuizuia Israel isiendelee kuwaua wapalestina,
Hilo jambo hakulifanya kamwe.
Anachokifanya sasa kuwapa silaha waasi na mamluki wa Marekani ili kumpinuda Bashar Al Assad ni msaada mkubwa kwa Israel ambaye imechanganyikiwa kutokana na nguvu za mapigano ya Hizbullah.
Netanyahu ameelewa kuwa hatawaweza Hizbullah ambao wamekuwa wa mwanzo kuleta kizaa zaa katikati ya Tel Aviv na miji yote ya Israel.Amegungua nguvu kubwa ya Hizbullah inatoka Iran kupitia Syria.
Israel imepiga vituo vyote vya mipaka na bado silaha na wapiganaji wanamiminika Lebanon kuungana na wenzao wa Hizbulah.
Anachokifanya Erdogan ni msaada wa moja kwa moja kwa Israel kuipa nafuu kutokana na kipigo kinachowasaburi katika duru zinazofuatia.
Rais wa Uturuki katikati ya vita vya Gaza alitangaza ataingia Israel ili kuizuia Israel isiendelee kuwaua wapalestina,
Hilo jambo hakulifanya kamwe.
Anachokifanya sasa kuwapa silaha waasi na mamluki wa Marekani ili kumpinuda Bashar Al Assad ni msaada mkubwa kwa Israel ambaye imechanganyikiwa kutokana na nguvu za mapigano ya Hizbullah.
Netanyahu ameelewa kuwa hatawaweza Hizbullah ambao wamekuwa wa mwanzo kuleta kizaa zaa katikati ya Tel Aviv na miji yote ya Israel.Amegungua nguvu kubwa ya Hizbullah inatoka Iran kupitia Syria.
Israel imepiga vituo vyote vya mipaka na bado silaha na wapiganaji wanamiminika Lebanon kuungana na wenzao wa Hizbulah.
Anachokifanya Erdogan ni msaada wa moja kwa moja kwa Israel kuipa nafuu kutokana na kipigo kinachowasaburi katika duru zinazofuatia.
Hayo makombora hata wewe unarudha, unajificha zako chooni unatupia vitu simple tuYale makombora na drones zinazowafanya watu wa Tel Aviv wakanyagane kukimbilia mashimoni huwa vinatoka wapi