Erdogan adhiihirisha tena si mtu wa kumtegemea,Anafanya kinyume na anavyotangaza

Erdoğan sio mjinga anaangalia MASLAHI yake, hawezi kuacha Wakurdi waigawe Turkiye kwa ajili ya Waarabu wa Palestine.
 
Geopolitics hizo...
 
Erdogan ni hatari sana, huwa haeleweki. Ila nahisi kwa Ulaya Uturuki inajipambanua sana katika power za hapa na pale. Halafu inawezekana wale waasi wanaoishambulia Uturuki walikuwa wamejificha Syria
 
Ni suala la muda tu Syria ishakua shamba la bibi na ni waasi wa kila aina makundi tofauti hivyo kinaweza kuwaka upya hata kwa edogan mwenyewe n muislael
 

At some point kila mtu ni mbinafsi, ameona kujipendekeza kwa Wayahudi kuna faida, shida yako ni nini Bwana Cobasi?
 
Yale makombora na drones zinazowafanya watu wa Tel Aviv wakanyagane kukimbilia mashimoni huwa vinatoka wapi
Hayo makombora hata wewe unarudha, unajificha zako chooni unatupia vitu simple tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…