Erdogan asema Iran ina ‘haki halali ya kujilinda dhidi ya uonevu wa Israel’

Erdogan asema Iran ina ‘haki halali ya kujilinda dhidi ya uonevu wa Israel’

Kapepo

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2015
Posts
1,078
Reaction score
1,227
Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan, amesema kwamba Iran ina “haki ya halali, ya kiasili na ya kisheria” ya kujilinda dhidi ya mashambulizi ya mara kwa mara ya Israel dhidi ya malengo ya kijeshi na nyuklia, ambayo sasa yameingia siku ya sita.

“Ni haki ya asili, halali na ya kisheria kwa Iran kujilinda dhidi ya uonevu na ugaidi wa kiserikali unaofanywa na Israel,” alisema Erdogan, siku moja baada ya kumtaja Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, kuwa “tishio kubwa zaidi kwa usalama wa eneo hili.”

Erdogan pia alisema kuwa Netanyahu amezidi hata Adolf Hitler kwa kufanya makosa ya mauaji ya halaiki (genocide) huko Gaza. Si mara ya kwanza kwa Erdogan kumlinganisha Netanyahu na kiongozi huyo wa Nazi.
========================

Turkish President Recep Tayyip Erdogan says Iran has the “legitimate” right to defend itself in the face of Israel’s ongoing bombing campaign against military and nuclear targets, now in its sixth day.

“It is a very natural, legitimate and legal right for Iran to defend itself against Israel’s thuggery and state terrorism,” the Turkish leader says, a day after he referred to Prime Minister Benjamin Netanyahu as “the biggest threat to the security of the region.”

He also says Netanyahu had surpassed Adolf Hitler in committing crimes of “genocide” in Gaza. It is not the first time Erdogan has compared Netanyahu to the Nazi leader.


 
Ni kweli mnafiki lakini maneno aliyoongea yana ukweli kabisa
Falsafa inasemaje?

Kwamba ukweli wa mnafiki unachakachuliwa na unafiki wake.

Maana yake mnafiki akisema ukweli, huo ukweli unahesabika uongo kwa sababu tu ya unafiki wake.

Mkuu, niongeze sauti au hiyo inasikika vizuri?!
 
Wale wasiofungamana na upande wowote hatupeleki msaada Iran?
 
Yale yale ya 2002/2003 yanataka kujirudia! I opposed that war [and I was right] and I oppose this war now [and I’m 💯% right, again].

And I’m still pro America 🇺🇸 .
 
Back
Top Bottom