#COVID19 Eric Kabendera: Magufuli alifariki kwa COVID-19 mwaka 2021

Kwani ni yeye pekee alikufa kwa corona? That a president is immune to die from covid 19? Corona yenyewe was man made .Cha ajabu kipi hapo
Inaonesha alivyokuwa mzembe,mjuaji,mzushi na asyejua chochote kuhusu ueneaji/uambukizaji wa magonjwa kitaalamu.Mwishowe akawasababishia vifo wengine na yeye akatoroka aibu hiyo kwa kuamua kujifia.
 
Hivi covid iliendaga wapi? Na chanjo zipo? Mie nilikuwa nimemsubiri kwa hamu waziri wa afya anilazimishe kuchoma sindano!! Ningempa za uso nakwambia!! Covid was man made to eradicate poor people like Africans .God is great!! It backfired!!
Cha msingi ni kwamba usiwapangie wengine wanaotaka.

Wewe sio mungu kuna maamuzi ni personal, hakuwa na mamlaka ya kuzuia chanjo kwa wengine.
 
Marehemu hasemwi vibaya
 
Kama kweli kaandika hivyo basi hilo jalida lake limejaa uongo na upotoshaji. Ni mpuuzi tu atakayenunua hizo hekaya.
 
Duh!... maneno magumu sana haya...
 
"hakukuwa na namna he had to be eliminated, sad). Ndio uhalisia mambo mengine sio ya kuvumilia sad but justified on the token of greater utility"


hapo juu unasema ni covid kaambukizwa na dogo sijui mlinzi wake

Chini hapo unasema alikuwa eliminated

Sasa tuende na lipi?
 
Na anayesema ni covid 19 ilimuua ana ushahidi wa kimaabara ? Ni umbea tu unawasumbua .

Unashindwa kuandika vitabu vya kuwafundisha watu namna ya kutafuta hela wewe unaandika umbea ATI Jpm alikufa kwa kovid ,mara alimpigia lisasi za kichwa mtu Fulani!! Ujinga mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…