Labella
JF-Expert Member
- Jun 26, 2024
- 1,949
- 4,759
Na wewe utuandalie kitabu chako km kaflag utuelezee vizuri 😹Kimsingi Covid-19 ilitumika kama Camouflage, the rest is History.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe utuandalie kitabu chako km kaflag utuelezee vizuri 😹Kimsingi Covid-19 ilitumika kama Camouflage, the rest is History.
Kama hizo ndio plan zao basi ni za kitoto bora wajikite kwenye ushindi wa kuiba kura na kununua upinzani.Mtandao wa JK na Samia: Mpango wa Kumchafua Magufuli
Katika siasa za Tanzania, kuandaliwa kwa mtandao wa kisiasa ni jambo la kawaida, lakini wakati mwingine, mipango hii hujikita katika malengo yasiyo ya haki. Hivi karibuni, ripoti zimeibuka zikielezea jinsi mtandao wa Rais Samia Suluhu Hassan na aliyekuwa Rais Jakaya Kikwete (JK) unavyofanya kazi kwa lengo la kumchafua aliyekuwa Rais John Magufuli, hususan kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.
Muktadha wa Kisiasa
Tanzania imekuwa na historia ndefu ya siasa za ushindani na ukosefu wa umoja miongoni mwa vyama. Baada ya kifo cha Rais Magufuli, ambaye alijulikana kwa sera zake kali na uongozi wake wa kipekee, nchi ilianza kujikuta katika mvutano wa kisiasa. Wakati ambapo Rais Samia alirehemu baadhi ya sera za Magufuli, kuna wale ambao wanadhani kwamba mtandao huu unalenga kumchafua ili kuhalalisha mabadiliko ya kisiasa yanayoweza kufanyika.
Mipango ya Kumchafua
Mtandao huu unadaiwa kujihusisha na kampeni za kueneza taarifa za uongo na propaganda kuhusu utawala wa Magufuli. Kwa kutumia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, kuna madai kwamba wanapotosha ukweli kuhusu mafanikio na changamoto za kipindi cha uongozi wa Magufuli. Lengo kuu ni kuwachanganya wapiga kura na kuhamasisha hisia hasi dhidi ya mtu ambaye alichukuliwa kama kiongozi mwenye maono ya kitaifa.
Athari za Mchakato
Athari za kampeni hii ni kubwa. Kwanza, inazua hali ya kutofahamika miongoni mwa wananchi kuhusu utawala wa Magufuli. Watu wanapokumbwa na taarifa mbaya bila uhalisia, wanajikuta wakikosa uamuzi sahihi wa kisiasa. Aidha, inachangia katika kuimarisha tofauti za kisiasa kati ya wafuasi wa Samia, JK, na wale wanaoshikilia miradi ya Magufuli.
Ushirikiano wa Kiuchumi
Kuna hofu kwamba mtandao huu unaweza kuathiri ushirikiano wa kiuchumi kati ya serikali ya sasa na miradi iliyosimamiwa na utawala wa Magufuli. Wakati ambapo baadhi ya miradi hiyo ilikuwa na mafanikio makubwa, propaganda inayofanywa inaweza kuathiri uwekezaji na uhusiano na wahisani ambao walikuwa wakimhimiza Magufuli.
Mkakati wa Kupambana na Propaganda
Katika kutafuta njia ya kupambana na propaganda hii, wafuasi wa Magufuli na baadhi ya wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wameanzisha kampeni za kujitafutia ukweli. Wanatumia mitandao ya kijamii na mikutano ya hadhara kuwajulisha wananchi kuhusu mafanikio ya utawala wa Magufuli. Hii ni njia ya kujenga upya imani ya umma na kuondoa dhana potofu zinazowekwa na mtandao wa JK na Samia.
Tathmini ya Hali
Hali hii inahitaji tathmini makini. Ni muhimu kwa watanzania kuwa waangalifu na taarifa wanazopokea, hasa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi. Uwezo wa mtandao huu wa kisiasa kubadilisha mitazamo ya umma ni mkubwa, lakini ukweli wa mambo unapaswa kuwekwa wazi. Wananchi wanahitaji kuwa na taarifa sahihi ili waweze kufanya maamuzi bora katika uchaguzi ujao.
Hitimisho
Kwa kuzingatia muktadha wa kisiasa nchini Tanzania, mtandao wa JK na Samia unapaswa kutathminiwa kwa makini. Lengo la kumchafua Magufuli linaweza kuwa na madhara makubwa si tu kwa siasa za nchi bali pia kwa maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Ni lazima wapiga kura wawe na ufahamu wa kutosha ili kuweza kufanya maamuzi sahihi katika uchaguzi wa mwaka 2025. Katika ulimwengu wa habari za kisasa, ukweli na uwazi ni silaha muhimu katika kupambana na propaganda na siasa za chuki.
Unajua covid inawaathiri watu tofauti.Kwahiyo wewe umedungwa chanjo? imekusaidia nini?
Ukifa huozi tajiri!! ukifa hunuki tajiri, uishi milele malkia! What else!!! Stupid!!
Mnatuletea machanjo ya hovyo hovyo mnataka tuyabugie tu bila kuuliza kama tunameza sakramenti!! SAHAUUU!!!!
I wish i could be IGP, yaani ningeshughulika na nyie Kweli kweli, ukibandua mguu naweka mguu mara tatu mpaka mnyooke kama RULA.
Magufuli alisema mwenyewe wanae waliugua covid-19, possible aliutoa kwa wanae au inner circle yake akina kijazi,mfugale nk,acha kusingizia watuKiongozi hakuna sehemu nimeandika habari za cover story.
Nilichoandika kama kifo cha Magufuli ni COVID itakuwa alipewa, Morogoro sokoni (may be I should have said chances are).
Ukiangalia video akiwa sikoni kuna dogo mmoja alikuwa ana angaika sana atulii sehemu moja anawagusa wenzake afiki kwa Magufuli ila mpaka karibu na wale walinzi wa karibu wa Magufuli hasa yule bonge.
Elewa vijana wakiwa na maambukizi ya COVID wanaweza kuwa wazima mpaka siku 14 bila ya kuonyesha dalili, ila ndani ya muda huo wanaweza ambukiza wengine (chukulia kama conspiracy theory tu).
It’s an observation, sio hitimisho; binafsi naamini kama Magufuli kafa na COVID basi walimpea pale sokoni Morogoro na huyo dogo ndio alikuwa anaisambaza (not conclusive).
Ukiwa na matatizo ya moyo,sukari,ukimwi,saratani ni ngumu kupambana na covid-19 na ukashinda,walipotangaza kuwa kafa kwa shida za moyo ilikua ni kumfichia aibu, sababu alionesha dharau kwa covid-19matatizo ya moyo
covid 19
mtasema tu mlichomfanya rais wetu
sie tupo hapa kusubiri hiyo siku
tuwalishe nyama yake wahusika wote
Wewe hata ukiumwa jipu dogo la kwenye tako unakimbilia kudungwa chanjo!!Unajua covid inawaathiri watu tofauti.
Mimi ilinipata nikaugua vimafua kidogo kama kwa week mbili.
Kipindi ambacho ugonjwa aujulikani vizuri. Upuuzi wangu baada ya kupona bada ya, siku mbili nikapiga whisky (kabla ya chanjo aijapatikana). Dah kesho yake ikaibuka tena covid ilinisumbua sisahau mpaka napata chanjo.
Leo mzima kesho hiyo, miezi karibu mitatu aisee hapana.
So what?View attachment 3192824
Katika kitabu chake cha In the Name of the President, Ndugu Eric Kabendera ameonyesha kuwa Hayati Magufuli alifariki kwa COVID-19.
Ikumbukwe kuwa katika utawala wa Magufuli masharti ya watalaam wa afya kutaka watu kujikinga na maambukizi kama kuvaa barakoa yalikuwa hayazingatiwi hasa katika maeneo ya umma.
Kimya cha serikali ya Tanzania kiliendelea kuzua wasiwasi hasa miongoni mwa wananchi, watalaam wa afya na wanaharakati wa haki za binadamu, ambao walizuiwa kuzungumzia maambukizi hayo hasa kupitia mitandao ya kijamii.
Wanae ilikuwa long time hadi kifo chake. Una siku 14 baaada ya kuambukizwa kabla ya dalili kuonekana (kama na kumbuka vizuri).Magufuli alisema mwenyewe wanae waliugua covid-19, possible aliutoa kwa wanae au inner circle yake akina kijazi,mfugale nk,acha kusingizia watu
AarghWewe hata ukiumwa jipu dogo la kwenye tako unakimbilia kudungwa chanjo!!
Sio kila kitu lazima udungwe chanjo Nyanda, ACHA USHAMBA!
Kwa hiyo kijazi, mfugale,mpango walikua kwenye chain ya huyo kijana wa morogoro?..halafu hao secret service hawagusani!?Wanae ilikuwa long time una siku 14 baaada ya kuambukizwa kabla ya dalili kuonekana (kama na kumbuka vizuri).
Mwanae na Kijazi ni out of the equation, kwangu mimi ni Morogoro sokoni akiwa ananunua vitu (theory only).
Angalia video ya Morogoro.Kwa hiyo kijazi, mfugale,mpango walikua kwenye chain ya huyo kijana wa morogoro?..halafu hao secret service hawagusani!?
Niangalie ujinga!!Angalia video ya Morogoro.
Ain’t got time for this.
UKo sawa mkuu.Wakitaka kumjua aliempa COVID ni dogo mmoja katika walinzi wake, alipokuwa sokoni Morogoro waangalie kwa makini video.
Kuna dogo alikuwa anaisambaza
Shida pia ni utaahira wake alikataa chanjo, ni kujitakia (uwezi shindana na bwana godi).
Worst unataka kuwapangia na wengine wasipate chanjo ushajiona mungu mtu (hakukuwa na namna he had to be eliminated, sad). Ndio uhalisia mambo mengine sio ya kuvumilia sad but justified on the token of greater utility,
Mambo mengine hayataki emotional, ningeamuru same thing hata ningekuwa mimi japo nilimkubali sana jamaa (uwezi zuia chanjo kwa wengine kisa imani zako) that’s just stupid and unacceptable.
Angewekwa na nani quarantine wakati yeye alipiga marufuku na kusema huo ugonjwa haupo.Anyway twendeni taratibu kimsingi COVID 19 ni ugonjwa wa virusi unaoenea haraka sana kwa njia ya hewa, majimaji kutoka kwa muathirika kupitia kugusana, kukaribiana etc
Kipindi late President yupo hospital alikuwa kazungukwa na viongozi wakuu wa nchi na vyombo vya usalama ambao walikuja kukubali kuwa waliongea nae mambo kadhaa hata kuwaomba wamrudishe kwao Chato.
Kwa namna coyote kama ingethibitika ni COVID 19 hill lisingewezekana maana angewekwa totally quarantine bila kukaribiana na watu wengine kuzuia maambukizi zaidi.
Kimazingira Inaonesha haikuwa Covid 19 na ndiomaana walikuja na hoja ya ugonjwa na moyo sasa wameturn to covid. Twende tu taratibu ukweli utajulikana tu.
Not all the timeKILA MTU ATAKUFA AWE MBAYA KIASI AU MZURI KIASI GANI, KIFO N MPANGO WA MUNGU
Beleifs doesnt mean facts or evidenceManeno yangu sio sheria, that is my own belief.