#COVID19 Eric Kabendera: Magufuli alifariki kwa COVID-19 mwaka 2021

Ukimsema vibaya anajitekebisha??ni akili za kipinguani kumsema vibaya marehemu.ni sawa na death sentence.huwa inamsaidaje marehemu kumrekebisha?
Inawezekana yule anayenuna na kujiuliza maswali potoshi kuhusu marehemu kusemwa ndiye kantyentye zaidi.Lengo huwa ni kuakisi aliyoyafanya na matokeo yake kwa mtu mmojammoja au jamii yote.Hii husaidia waliobaki kuujua ukweli,kujirekebisha,kujutia,kuacha uovu na kuiacha jamii ikiwa salama.Fundisho hutolewa.Aliyekufa na anaweza kusikia na kujibu ni Yesu tu.
 

Mark Zuckerberg Mmiliki wa Facebook Akiri Kuchakachua Taarifa za COVID-19 Kwa Shinikizo la Biden​

 
Sasa how do you eliminate a person without a cause? Or you can do that on wishful thinking.

Si unatakiwa uumpe mtu sumu kwanza halafu ndio afe au kuna namna nyingine; mbona ni straight forward post.
 
Yeye mwenyewe alisema kila mtu atakufa, alifikia stage nadhani hakuogopa kifo, na he knew he was next In line after Mfugale and Kijazi.

Wote tupo kwenye chain ya kifo, hatujui tu lini na saa ngapi so hakuna wa kujisifu hapa.
 
Sasa how do you eliminate a person without a cause? Or you can do that on wishful thinking.

Si unatakiwa uumpe mtu sumu kwanza halafu ndio afe au kuna namna nyingine; mbona ni straight forward post.
Mkuu twende taratibu kuna kitu nataka kuelewa umesema kwenye video ya Morogoro dogo mlinzi wake ndio kamuambikiza Covid-19

Swali langu ni Covid- 19 ilitumika kama elimination method au Cover story ya elimination??
 
Hilo mbona linajulikana siku nyingi na kinadhihirisha ukichaa wake. Hakuamini kubwa kuna huo ugonjwa na watu wake wa karibu wote walikufa kwa ugonjwa huo sababu ya unafiki. Kwa mashabiki maandazi wake kuna wanaoamini kuwa hajafa kuna siku atarudi madarakani
 
Huyu alikufa na Nini?
 

Attachments

  • 2574448-4465ebe2627ce1b1ebcb925b7e7e8e4d.mp4
    3.7 MB
Mkuu twende taratibu kuna kitu nataka kuelewa umesema kwenye video ya Morogoro dogo mlinzi wake ndio kamuambikiza Covid-19

Swali langu ni Covid- 19 ilitumika kama elimination method au Cover story ya elimination??
Kiongozi hakuna sehemu nimeandika habari za cover story.

Nilichoandika kama kifo cha Magufuli ni COVID itakuwa alipewa, Morogoro sokoni (may be I should have said chances are).

Ukiangalia video akiwa sikoni kuna dogo mmoja alikuwa ana angaika sana atulii sehemu moja anawagusa wenzake afiki kwa Magufuli ila mpaka karibu na wale walinzi wa karibu wa Magufuli hasa yule bonge.

Elewa vijana wakiwa na maambukizi ya COVID wanaweza kuwa wazima mpaka siku 14 bila ya kuonyesha dalili, ila ndani ya muda huo wanaweza ambukiza wengine (chukulia kama conspiracy theory tu).

It’s an observation, sio hitimisho; binafsi naamini kama Magufuli kafa na COVID basi walimpea pale sokoni Morogoro na huyo dogo ndio alikuwa anaisambaza (not conclusive).
 
Asante Kiongozi
 
Mtandao wa JK na Samia: Mpango wa Kumchafua Magufuli

Katika siasa za Tanzania, kuandaliwa kwa mtandao wa kisiasa ni jambo la kawaida, lakini wakati mwingine, mipango hii hujikita katika malengo yasiyo ya haki. Hivi karibuni, ripoti zimeibuka zikielezea jinsi mtandao wa Rais Samia Suluhu Hassan na aliyekuwa Rais Jakaya Kikwete (JK) unavyofanya kazi kwa lengo la kumchafua aliyekuwa Rais John Magufuli, hususan kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.

Muktadha wa Kisiasa

Tanzania imekuwa na historia ndefu ya siasa za ushindani na ukosefu wa umoja miongoni mwa vyama. Baada ya kifo cha Rais Magufuli, ambaye alijulikana kwa sera zake kali na uongozi wake wa kipekee, nchi ilianza kujikuta katika mvutano wa kisiasa. Wakati ambapo Rais Samia alirehemu baadhi ya sera za Magufuli, kuna wale ambao wanadhani kwamba mtandao huu unalenga kumchafua ili kuhalalisha mabadiliko ya kisiasa yanayoweza kufanyika.

Mipango ya Kumchafua

Mtandao huu unadaiwa kujihusisha na kampeni za kueneza taarifa za uongo na propaganda kuhusu utawala wa Magufuli. Kwa kutumia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, kuna madai kwamba wanapotosha ukweli kuhusu mafanikio na changamoto za kipindi cha uongozi wa Magufuli. Lengo kuu ni kuwachanganya wapiga kura na kuhamasisha hisia hasi dhidi ya mtu ambaye alichukuliwa kama kiongozi mwenye maono ya kitaifa.

Athari za Mchakato

Athari za kampeni hii ni kubwa. Kwanza, inazua hali ya kutofahamika miongoni mwa wananchi kuhusu utawala wa Magufuli. Watu wanapokumbwa na taarifa mbaya bila uhalisia, wanajikuta wakikosa uamuzi sahihi wa kisiasa. Aidha, inachangia katika kuimarisha tofauti za kisiasa kati ya wafuasi wa Samia, JK, na wale wanaoshikilia miradi ya Magufuli.

Ushirikiano wa Kiuchumi

Kuna hofu kwamba mtandao huu unaweza kuathiri ushirikiano wa kiuchumi kati ya serikali ya sasa na miradi iliyosimamiwa na utawala wa Magufuli. Wakati ambapo baadhi ya miradi hiyo ilikuwa na mafanikio makubwa, propaganda inayofanywa inaweza kuathiri uwekezaji na uhusiano na wahisani ambao walikuwa wakimhimiza Magufuli.

Mkakati wa Kupambana na Propaganda

Katika kutafuta njia ya kupambana na propaganda hii, wafuasi wa Magufuli na baadhi ya wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wameanzisha kampeni za kujitafutia ukweli. Wanatumia mitandao ya kijamii na mikutano ya hadhara kuwajulisha wananchi kuhusu mafanikio ya utawala wa Magufuli. Hii ni njia ya kujenga upya imani ya umma na kuondoa dhana potofu zinazowekwa na mtandao wa JK na Samia.

Tathmini ya Hali

Hali hii inahitaji tathmini makini. Ni muhimu kwa watanzania kuwa waangalifu na taarifa wanazopokea, hasa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi. Uwezo wa mtandao huu wa kisiasa kubadilisha mitazamo ya umma ni mkubwa, lakini ukweli wa mambo unapaswa kuwekwa wazi. Wananchi wanahitaji kuwa na taarifa sahihi ili waweze kufanya maamuzi bora katika uchaguzi ujao.

Hitimisho

Kwa kuzingatia muktadha wa kisiasa nchini Tanzania, mtandao wa JK na Samia unapaswa kutathminiwa kwa makini. Lengo la kumchafua Magufuli linaweza kuwa na madhara makubwa si tu kwa siasa za nchi bali pia kwa maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Ni lazima wapiga kura wawe na ufahamu wa kutosha ili kuweza kufanya maamuzi sahihi katika uchaguzi wa mwaka 2025. Katika ulimwengu wa habari za kisasa, ukweli na uwazi ni silaha muhimu katika kupambana na propaganda na siasa za chuki.
 
Hili mbona Mh Rais Dr Samia alisha thibitisha kwenye filamu ya Royal Tour? Nini cha ajabu hapa?
 
Nanyi mmekubaliana nae?
 
Ishu ya covid magufuli alikuwa sahihi kabisa dk.wao usa wanamshtaki sasa hivi kwa kuwadanganya.
Utumwa mambo. Leo una...............
 
Magufuli si rahisi kumchafua akachafulika, kwan kazi zake ndo hutumika kwa ajiri ya location kwa wasanii na wageni mbalimbali ktoka mataifa tofauti

Pia content creator ktoka mataifa jirani wanakuja sana bongo ktafta content na maeneo pekee wanapendelea ni ktk miradi ya jpm, wenye akili za kuungaunga watanasa ktk mtego huu, kwa wanaoelewa tz ilipokua na ilipo kwa sasa wanajua

Kenya wanaogopa sana jina Tanzania linapotajwa , pia confidence ya watanzania imepanda sana wanapobato na wakenya sababu kubwa ikiwa ni miradi ya jpm

NB: VITA YA UCHUMI INAENDELEA HADI KWA MAREHEMU,
hii inadhihirisha ushujaa wa mwendazake
 
Worst unataka kuwapangia na wengine wasipate chanjo ushajiona mungu mtu (hakukuwa na namna he had to be eliminated, sad). Ndio uhalisia mambo mengine sio ya kuvumilia sad but justified on the token of greater utility,
Kwahiyo wewe umedungwa chanjo? imekusaidia nini?

Ukifa huozi tajiri!! ukifa hunuki tajiri, uishi milele malkia! What else!!! Stupid!!

Mnatuletea machanjo ya hovyo hovyo mnataka tuyabugie tu bila kuuliza kama tunameza sakramenti!! SAHAUUU!!!!

I wish i could be IGP, yaani ningeshughulika na nyie Kweli kweli, ukibandua mguu naweka mguu mara tatu mpaka mnyooke kama RULA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…