#COVID19 Eric Kabendera: Magufuli alifariki kwa COVID-19 mwaka 2021

Kama hizo ndio plan zao basi ni za kitoto bora wajikite kwenye ushindi wa kuiba kura na kununua upinzani.

Litmus test yao Mangę Kimambi, wakamuulize kupitia dada yake sijui nani yule anaempenda ampe ukweli.

Siku Mangę aandike umbea wa ma-star kabla ajafungiwa akiwa na followers karibu 10 million kwenye main account yake hapo ni ushambenga tu.

Siku amwandike Magufuli vibaya followers wanabadilika tuachie huyo mtu, yeye mwenyewe alikubali mwisho wa siku kabla ya kufungiwa instagram.

Watanzania wanampenda Magufuli, umchafui Magufuli kwa watanzania.
 
Rais aliyeanzisha:

1. TARURA - Ilianzishwa chini ya utawala wa Rais John Magufuli mwaka 2016.
2. PSSSF (Mfuko wa Pensheni wa Sekta ya Umma) - Pia ulianzishwa chini ya Rais John Magufuli mwaka 2018, kama sehemu ya mabadiliko ya mifuko ya pensheni.
3. Tume ya Madini- Ilianzishwa mwaka 2017 chini ya Rais John Magufuli, ikiwa na lengo la kusimamia rasilimali za madini nchini Tanzania.

Kwa hivyo, Rais John Magufuli ndiye aliyeanzisha taasisi hizi tatu.
 
Unajua covid inawaathiri watu tofauti.

Mimi ilinipata nikaugua vimafua kidogo kama kwa week mbili.

Kipindi ambacho ugonjwa aujulikani vizuri. Upuuzi wangu baada ya kupona bada ya, siku mbili nikapiga whisky (kabla ya chanjo aijapatikana). Dah kesho yake ikaibuka tena covid ilinisumbua sisahau mpaka napata chanjo.

Leo mzima kesho hiyo, miezi karibu mitatu aisee hapana.
 
Hizi story zinasaidia nini kwenye kuinua uchumi wa Taifa na kupanua wigo wa upatikanaji wa ajira kwa vijana na maisha bora kwa kila mwananchi wa Taifa husika?
 
matatizo ya moyo
covid 19

mtasema tu mlichomfanya rais wetu
sie tupo hapa kusubiri hiyo siku
tuwalishe nyama yake wahusika wote
 
Magufuli alisema mwenyewe wanae waliugua covid-19, possible aliutoa kwa wanae au inner circle yake akina kijazi,mfugale nk,acha kusingizia watu
 
matatizo ya moyo
covid 19

mtasema tu mlichomfanya rais wetu
sie tupo hapa kusubiri hiyo siku
tuwalishe nyama yake wahusika wote
Ukiwa na matatizo ya moyo,sukari,ukimwi,saratani ni ngumu kupambana na covid-19 na ukashinda,walipotangaza kuwa kafa kwa shida za moyo ilikua ni kumfichia aibu, sababu alionesha dharau kwa covid-19
 
Wewe hata ukiumwa jipu dogo la kwenye tako unakimbilia kudungwa chanjo!!

Sio kila kitu lazima udungwe chanjo Nyanda, ACHA USHAMBA!
 
So what?
 
Magufuli alisema mwenyewe wanae waliugua covid-19, possible aliutoa kwa wanae au inner circle yake akina kijazi,mfugale nk,acha kusingizia watu
Wanae ilikuwa long time hadi kifo chake. Una siku 14 baaada ya kuambukizwa kabla ya dalili kuonekana (kama na kumbuka vizuri).

Ni miezi mingi sana kati ya alipo ni vi mafua vya manawe na kifo chake.

Kikazi pia ni out of the equation, kwangu mimi ni Morogoro sokoni akiwa ananunua vitu (theory only).
 
Wanae ilikuwa long time una siku 14 baaada ya kuambukizwa kabla ya dalili kuonekana (kama na kumbuka vizuri).

Mwanae na Kijazi ni out of the equation, kwangu mimi ni Morogoro sokoni akiwa ananunua vitu (theory only).
Kwa hiyo kijazi, mfugale,mpango walikua kwenye chain ya huyo kijana wa morogoro?..halafu hao secret service hawagusani!?
 
Anyway twendeni taratibu kimsingi COVID 19 ni ugonjwa wa virusi unaoenea haraka sana kwa njia ya hewa, majimaji kutoka kwa muathirika kupitia kugusana, kukaribiana etc
Kipindi late President yupo hospital alikuwa kazungukwa na viongozi wakuu wa nchi na vyombo vya usalama ambao walikuja kukubali kuwa waliongea nae mambo kadhaa hata kuwaomba wamrudishe kwao Chato.
Kwa namna coyote kama ingethibitika ni COVID 19 hill lisingewezekana maana angewekwa totally quarantine bila kukaribiana na watu wengine kuzuia maambukizi zaidi.
Kimazingira Inaonesha haikuwa Covid 19 na ndiomaana walikuja na hoja ya ugonjwa na moyo sasa wameturn to covid. Twende tu taratibu ukweli utajulikana tu.
 
UKo sawa mkuu.

Nilikua nikimuona na harakati zake za kukataa chanjo, Kukataa uhalisia wa COVID - 19, na kusema hakuna ugonjwa Tz.

Wakati kuna mamia ya watu wako hospitalized, Watu wanauguza ndugu zao wanapigania uhai kwenye ventilator, alafu unawasha TV unamsikia anasema hakuna corona, sijui maombi siku 3

Hivi wale ndugu waliokua wanauguza wenzao hospitali walikua wanajiskiaje

Au upo hospitali ya Umma, Mgonjwa wako wa matatizo ya upumuaji amekufa kwa kukosa Ventilator, Alafu unamsikia mtu ambae anatakiwa kuleta hizo ventilator akisema huo ugonjwa haupo.

Ni huzuni mno.
 
Angewekwa na nani quarantine wakati yeye alipiga marufuku na kusema huo ugonjwa haupo.

Sembuse hata madaktari walikua wanapata kikugumizi kumtaarifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…