Ningeshindwa kushangaa kama angebabaishwa na hiyo case. Ni case ndogo sana 😂Mkuu Huyo bilionea kashaachiwa ...mtu unaweza kununua jumba Dubai kwa bilioni 3 , unateseka na nini, polisi?
Simu Moja tu Inapigwa na anaachiwa. ..tena inaweza toka Moja kwa Moja kwenye jumba jeupe huko kwao