Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
Mi nachojua kwa hapa Tz watalii au wazungu wanauziwa gram 1 kwa sh 250,000 hadi 300,000. Ila gram ya gold sifahamu bei yakeKumbe inacompete na gold
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi nachojua kwa hapa Tz watalii au wazungu wanauziwa gram 1 kwa sh 250,000 hadi 300,000. Ila gram ya gold sifahamu bei yakeKumbe inacompete na gold
200 Kg!Pichani ni Eric Mandala Kizenga, raia wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Fally Ipupa alitunga wimbo maarufu kumsifia mkewe, Maria Piron Mandala (PM). Wimbo huu ulizua gumzo sana, na kuonyesha namna alivyokuwa akimpenda mkewe.
Hata hivyo, kuanzia juzi, habari kuhusu Eric Mandala zimekuwa tofauti kabisa. Mtu huyu ambaye alikuwa akitajwa kuwa na utajiri mkubwa nchini Kongo sasa amekumbwa na kashfa kubwa. Juzi, akiwa nchini Colombia, Eric Mandala alikamatwa akiwa na kilo 200 za cocaine ndani ya gari lililokuwa limeegeshwa kwenye moja ya malls maarufu nchini humo.
Cocaine hiyo inadaiwa ilitoka Ecuador na ilikuwa inaelekea Morocco kupitia bandari ya Algeciras, Hispania.
Mandala alikamatwa pamoja na mwanamke wa Kikolombia, na walikamatwa wakiwa na kiasi cha dola 50,000 za kimarekani taslimu. Polisi waligundua kuwa Eric Mandala alikuwa akifuatiliwa na maafisa wa kudhibiti dawa za kulevya tangu Agosti mwaka jana, na hatimaye alikamatwa juzi kwenye mtego wao.
Zaidi ya hayo, mwaka 2020, Eric Mandala alijivunia kununua nyumba ya kifahari katika jengo refu zaidi duniani, Burj Khalifa, jijini Dubai, kwa kiasi cha Euro milioni 1.85 cash, jambo ambalo lilishangaza wengi na kuacha vinywa wazi.
Wakati Eric Mandala akisota kwenye mikono ya polisi, maswali yanajitokeza kuhusu kama Adolphe Muteba Tshilamwina ataungana na mzozo huu au ataepuka mtego huu. Hali inavyokuwa ni ngumu kusema, lakini ni wazi kuwa hadithi hii itazidi kutoa makala nyingi.
View attachment 3214542
Kula kwa urefu wa kamba yako, hao mbona Wana lika.Nikipata buku nashukuru Mungu vikubwa vina madhara sema jobless 🤣watoto wazuri tutaishia Kuwaita shemeji s hatutaki kufanya dili haramu
Daktari wa wajinga Tena?Tafasiri:
Sasa ni gari
Eric Mandala 'Doktari wa Wajinga' na Maria Piron
Wo-wo-wo-wo......
Maria Piron, mama na Erika, Alvina na Nazeria Mandala
Polisi wa Sirène wakiwa gerezani
Baba mkwe wa Corbillard Epargner, yaani, kwa mfano.
Sitaki kupoteza uzito
Siku ya Larmes
Mapigano ya Beton
Sitaki kupoteza uzito
Marianne ni mtu pekee ambaye ana mzio wa lasser. Huzuni, bahati mbaya (Wanajua kwa urahisi ruhusu kupita) Nitaendesha gari Marianne Mandala ndiye pekee (isipokuwa Kuruhusu kwenda) Huzuni, bahati mbaya (Wanajua kwa urahisi ruhusu kupita) Nitaendesha gari
Dunia ni ya pembetatu. Gari kubwa zaidi duniani
Hata hivyo, ni kutengeneza utatu. Adamu na Hawa. Umuhimu wa uzuri ya Baba wa nyoka
Ndio alivyomuimba hivyo IpupaDaktari wa wajinga Tena?
Kwani Wanauadui naye, Hadi amuite daktari wa wajinga?Ndio alivyomuimba hivyo Ipupa
Eric Mandala le docteur des ignorants
Km French haipandi omba maji kwanza usije ukapaliwa
Kweli?the man is free,enjoying life in Dubai
Dah hizo ndio mishe za kufanyaBilioni Kumi na sita
Kwaio umaskin ndio hauna balaasasa endelea kutamani utajiri wa haraka uone balaa lake mbele ya safari
[emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa aisee usipewe utajiri utazikwa mapema sanaHela ya kupiga orgy ndani ya private jet hiyo. Yaani nakodi private jet from dubai to cape town full kudinyana na warembo
Kweli Mungu ana maana yake kumnyima mtu we ungepewa wewe binadamu wangekomaHela ya kupiga orgy ndani ya private jet hiyo. Yaani nakodi private jet from dubai to cape town full kudinyana na warembo
Kuna Msemo, kila boss na Boss wake.Kwanini aendeshe mwenyewe gari na ni Don, angetuma vijana tu!!
So unamaanisha mungu anabariki hela za madawa?Kweli Mungu ana maana yake kumnyima mtu we ungepewa wewe binadamu wangekoma
Ukiwa tajiri unazikwaje mapema mzeya? Kwanza unakula pisi classic havizna virusi taani full burudani tena wee ukitaka uwe safe kabisa unaenda chukua zile pisi kali zinazocheza porno maana wala wanapima frequently.[emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa aisee usipewe utajiri utazikwa mapema sana
[emoji23][emoji23] si mchezoUkiwa tajiri unazikwaje mapema mzeya? Kwanza unakula pisi classic havizna virusi taani full burudani tena wee ukitaka uwe safe kabisa unaenda chukua zile pisi kali zinazocheza porno maana wala wanapima frequently.
Ukiwa na hela unaongeza probability ya kuishi longer bro
Mkuu Huyo bilionea kashaachiwa ...mtu unaweza kununua jumba Dubai kwa bilioni 3 , unateseka na nini, polisi?Ukiwa na hela sidhani kama kuna jambo haliwezekani hata kama ni kinyume na sheria.