Eric Mandala akamatwa na kilo 200 za Cocaine

Eric Mandala akamatwa na kilo 200 za Cocaine

Dili la kilo 200 za cocaine ukifuata toka America kusini mpaka USA au nchi zingine zilizoendelea faida yake ni kubwa mno.

Hapo jamaa angefanikisha faida ingekuwa zaidi ya 10 Billion ukitoa expenses nzote.
Kakosea mchoro dili imegoma na wanasema walimtegea mtego akajaa imo
 
Atakana mashtaka 😅Shauri litapelekwa May 😝😝😝au atatakiwa kukaa kimya bila kujibu chochote
 
Hakuna tajiri mwenye mali za halali bila kubinya waliopo chini yake kuna mahala anabinya ili yeye aingize zaidi, utakua bado hujafika levels hizo

Kazi ya mtu kufanya kwa 2M anamweka mtu anampa 400k ile 1.6M anajikunjia mwenyewe hivyo ndivyo inavyokua
Dah mkuu umejuaje mi sio tajiri 😁
 
Dah mkuu umejuaje mi sio tajiri 😁
Nimekupa hivyo ndivyo matajiri wengi hufanya kwa hio inaonekana halali kwa macho ya nje ila kwa macho ya ndani sio halali yeye anakutumia wewe kujitajirisha mwenyewe ndivyo ilivyo ukiwa tajiri ni ngumu kua na mali halali mostly ni ........ ukauzu ukauzu huruma pembeni mfanyakazi akiugua siku 2 mwisho toa weka mwingine
 
Hivi unajua huyo ni mwandishi wa habari realMamy
Mwandishi wa habari kufanya nini yaani kwa mfano mimi ni mwandishi wa nini hapa jf? Halafu haya mambo ya unamjua huyu nani yameanza lini humu jf?

Mimi hata Max na mwenzie wakitupia comment naruka nao wewe unaniambia mwandishi wa habari kufanya nini?
 
Si walikuwa waganga tapeli na mmewe Ivan umesahau??
Mimi nimesahau nikumbushe ninachokumbuka last time baada ya kubwagana jamaa alianza kuonyesha km ana pesa chafu sio kawaida ndio akaanza kutrend akigawa hela watu wamepanga foleni ramener aux expéditeurs
 
Wale walikuwa na deal chafu bana madawa na mengine na unajua mambo ya South A
 
Wale walikuwa na deal chafu bana madawa na mengine na unajua mambo ya South A
Yeah naelewa dili chafu zipo ndio zinavyokua unapiga hela ila ndio hivyo vous n'êtes pas complet tant que vous n'avez pas terminé
 
Hakuna tajiri mwenye mali za halali bila kubinya waliopo chini yake kuna mahala anabinya ili yeye aingize zaidi, utakua bado hujafika levels hizo

Kazi ya mtu kufanya kwa 2M anamweka mtu anampa 400k ile 1.6M anajikunjia mwenyewe hivyo ndivyo inavyokua
EXPERIENCE %
 
DRC ndo makao makuu ya machawa na praise singers. Mcongo kumsifia mtu ili apate chochote ni kama kunywa juice ya baridi saa 8 mchana pale mtaa wa Congo, Kkoo. Wasanii wa DRC waache ujinga wa kutunga nyimbo za kusifu watu kama miungu. Koffi Olomide ana wimbo unaitwa Mike Mosisi ambaye ni kiongozi wa serikali huko Eastern DRC. The late Franco naye ana wimbo wa kumsifu Dikteta Mobutu... wimbo mrefu ila huchoki kusikiliza... ni hit song iliyojaa propaganda.
They don't praise them for nothing, they are paid handsomely
 
Back
Top Bottom