Eric Mandala akamatwa na kilo 200 za Cocaine

Mkuu Huyo bilionea kashaachiwa ...mtu unaweza kununua jumba Dubai kwa bilioni 3 , unateseka na nini, polisi?
Simu Moja tu Inapigwa na anaachiwa. ..tena inaweza toka Moja kwa Moja kwenye jumba jeupe huko kwao
Ningeshindwa kushangaa kama angebabaishwa na hiyo case. Ni case ndogo sana 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…