Akina nani hao walibambikiziwa kesi ya uhujumu uchumi kisa kalamu zao?Mwandishi wa Habari Kabendera ana maslahi nao gani? Maana kama ni ishu ya waandishi, hao wengine waliowahi kuwa na kesi mabeberu walikuwa wanatuma watu wao?
Huelewi wewe! Hakuna hela iliyo lipwa hapo. Lengo ni serikali kuonekana ilikuwa inasema ukweli kuhusu Kabendera.Hivi ww kwa akili yako unajua kuwa hana kosa? Umejiuliza mwandishi wa Habari yupi na kwa msahahara Upi anaweza kulipa mil 100? I am sure ungekuwa ww ungefia gerezani pamoja na offer hiyo ya msamaha .
Kwa akili yako kabendera kalipa au amelipiwa na mabeberu? Hukuona jinsi walivyokuwa wanafuatilia kesi ikitajwa mahakamani? Pesa hizo kabendera hana!Angekuwa na mzigo wote huo mama yake asingeteseka kwa kukosa madawa!Huwezi kulipa faini milioni mia mbili na ushee kama hujaiba na angalau kama hauna hela. Acheni siasa nyie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sjajua kisheria imekaaje. But wajuvi mnijuze. Kukiri kosa ni defence....je inatosha kumuacha mtubhuru??Mbona matusi hayo unitukane mimi?
We unasema uhujumu uchumi? Watu walikuwa na kesi za uhaini na kunyang'anywa uraia.Akina nani hao walibambikiziwa kesi ya uhujumu uchumi kisa kalamu zao?
Ndio unitajie majina yao na kesi zao!We unasema uhujumu uchumi? Watu walikuwa na kesi za uhaini na kunyang'anywa uraia.
Mkuu Nyerere na Mkapa pamoja na mambo yote ya kiutawala (ubabe inclusive) hawakuwa na ujinga juu wa kuvunja sheria. Hata kama watakuonea au kukushikisha adabu ni ndani ya mipaka ya kisheria na sio ubambikaji wa wazi na chuki.Ramli hii. Ingekuwa rahisi hivyo basi baada ya uongozi wa Nyerere na Mkapa kesi za hivyo zingekuwa nyingi. Mahakama hizi zina taratibu zake, haziendeshwi kishabiki mkuu.
Enzi za kina Jenerali Ulimwengu ulikuwa hujazaliwa?Ndio unitajie majina yao na kesi zao!
Mkuu Nyerere na Mkapa pamoja na mambo yote ya kiutawala (ubabe inclusive) hawakuwa na ujinga juu wa kuvunja sheria. Hata kama watakuonea au kukushikisha adabu ni ndani ya mipaka ya kisheria na sio ubambikaji wa wazi na chuki.Ramli hii. Ingekuwa rahisi hivyo basi baada ya uongozi wa Nyerere na Mkapa kesi za hivyo zingekuwa nyingi. Mahakama hizi zina taratibu zake, haziendeshwi kishabiki mkuu.
Duh! Basi nimegundua wewe unajadiliana kulingana na upepo mkuu. Kwa pattern hii, hata Magufuli akimaliza wakati wake utasema hivi hivi.Mkuu Nyerere na Mkapa pamoja na mambo yote ya kiutawala (ubabe inclusive) hawakuwa na ujinga juu wa kuvunja sheria. Hata kama watakuonea au kukushikisha adabu ni ndani ya mipaka ya kisheria na sio ubambikaji wa wazi na chuki.
Tafuta taarifa za MTU kama THOMAS ZANGIRA, aliyekuwa mtumishi wa Kilimanjaro Hotel wakati wa miaka ya 1980's ambaye alikuwa anafanya ujasusi. Ndio utaelewa kazi hazikufanywa kama za sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaropoka tu na likofia lako la m4c toka Lin ccm ikasababisha vifo [emoji1787]Haki ya mtu uwa haipotei ila Mwenyezi Mungu atamlipa kwa CCM walichokifanya cha kusababisha ata mauti ya mama yake kabla ya muda kwa msongo wa mawazo juu ya mwanae
Sasa Jenerali Ulimwengu yuko wapi sasa?Nikuambie tu,kwa mujibu wa katiba,hakuna mwenye uwezo wa kumnyang'anya Mtanzania uraia,hapo umekengeuka!Enzi za kina Jenerali Ulimwengu ulikuwa hujazaliwa?
Yaani nyie watu hata sio critical thinkers. Mnachotwa kirahisi sana.
Hebu fuatilia maisha ya Kabendera. Mfano dodosa ujue anapoishi, watoto wake wanaposoma na kazi zake. Fuatilia tu kwa nia ya kujua kitu, usiwaze huu ubishani wa hapa. Fuatilia.