Erick Kabendera aachiwa huru baada ya kukiri makosa na kufutiwa shtaka

Erick Kabendera aachiwa huru baada ya kukiri makosa na kufutiwa shtaka

Mwandishi wa Habari Kabendera ana maslahi nao gani? Maana kama ni ishu ya waandishi, hao wengine waliowahi kuwa na kesi mabeberu walikuwa wanatuma watu wao?
Akina nani hao walibambikiziwa kesi ya uhujumu uchumi kisa kalamu zao?
 
Hivi ww kwa akili yako unajua kuwa hana kosa? Umejiuliza mwandishi wa Habari yupi na kwa msahahara Upi anaweza kulipa mil 100? I am sure ungekuwa ww ungefia gerezani pamoja na offer hiyo ya msamaha .
Huelewi wewe! Hakuna hela iliyo lipwa hapo. Lengo ni serikali kuonekana ilikuwa inasema ukweli kuhusu Kabendera.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi kulipa faini milioni mia mbili na ushee kama hujaiba na angalau kama hauna hela. Acheni siasa nyie.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa akili yako kabendera kalipa au amelipiwa na mabeberu? Hukuona jinsi walivyokuwa wanafuatilia kesi ikitajwa mahakamani? Pesa hizo kabendera hana!Angekuwa na mzigo wote huo mama yake asingeteseka kwa kukosa madawa!
 
bagamoyo,
Yaani nyie watu hata sio critical thinkers. Mnachotwa kirahisi sana.

Hebu fuatilia maisha ya Kabendera. Mfano dodosa ujue anapoishi, watoto wake wanaposoma na kazi zake. Fuatilia tu kwa nia ya kujua kitu, usiwaze huu ubishani wa hapa. Fuatilia.
 
Msianzishe mambo ya kipumbavu,kama kaachiwa ebu maisha yaendelee tusijifanye kuanzisha uzushi wa kijinga.
 
Ramli hii. Ingekuwa rahisi hivyo basi baada ya uongozi wa Nyerere na Mkapa kesi za hivyo zingekuwa nyingi. Mahakama hizi zina taratibu zake, haziendeshwi kishabiki mkuu.
Mkuu Nyerere na Mkapa pamoja na mambo yote ya kiutawala (ubabe inclusive) hawakuwa na ujinga juu wa kuvunja sheria. Hata kama watakuonea au kukushikisha adabu ni ndani ya mipaka ya kisheria na sio ubambikaji wa wazi na chuki.

Tafuta taarifa za MTU kama THOMAS ZANGIRA, aliyekuwa mtumishi wa Kilimanjaro Hotel wakati wa miaka ya 1980's ambaye alikuwa anafanya ujasusi. Ndio utaelewa kazi hazikufanywa kama za sasa.

Mkongwe Mzoefu,
sasa ww ndio msemaji wake au? ulikuwepo wakati wanafanya makubaliano? pupet wa mabeberu mtasoma namba sana awamu hii!
 
Mkuu Nyerere na Mkapa pamoja na mambo yote ya kiutawala (ubabe inclusive) hawakuwa na ujinga juu wa kuvunja sheria. Hata kama watakuonea au kukushikisha adabu ni ndani ya mipaka ya kisheria na sio ubambikaji wa wazi na chuki.
Tafuta taarifa za MTU kama THOMAS ZANGIRA, aliyekuwa mtumishi wa Kilimanjaro Hotel wakati wa miaka ya 1980's ambaye alikuwa anafanya ujasusi. Ndio utaelewa kazi hazikufanywa kama za sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! Basi nimegundua wewe unajadiliana kulingana na upepo mkuu. Kwa pattern hii, hata Magufuli akimaliza wakati wake utasema hivi hivi.

Ishu za Nyerere na makesi ya Uhaini muulize Mwenyekiti Msaidizi wako Lissu akusimulie vizuri.
 
Enzi za kina Jenerali Ulimwengu ulikuwa hujazaliwa?
Sasa Jenerali Ulimwengu yuko wapi sasa?Nikuambie tu,kwa mujibu wa katiba,hakuna mwenye uwezo wa kumnyang'anya Mtanzania uraia,hapo umekengeuka!
 
Ni hatari sana kama mtu utakuwa unaishi kwa hisia.

Asitumike tena kwa masirahi ya watu wasio kuwa uchungu taifa letu.
 
Yaani nyie watu hata sio critical thinkers. Mnachotwa kirahisi sana.

Hebu fuatilia maisha ya Kabendera. Mfano dodosa ujue anapoishi, watoto wake wanaposoma na kazi zake. Fuatilia tu kwa nia ya kujua kitu, usiwaze huu ubishani wa hapa. Fuatilia.

Jakaya alisema "Yakuambiwa Changanya na Akili zako" mwisho wa kumnukuu Mzee wetu busara zake. Vijana tuwe great thinkers twende nje ya box.
 
Hii movie inafanana sn na Ile ya magaidi wa mapango ya amboni...
 
Na movie hii itaendelea na kuwaacha wanaLumumba vinywa wazi. Muda ndiyo utaongea kubaini kilicho nyuma ya pazia.
 
Back
Top Bottom