Duh! Basi nimegundua wewe unajadiliana kulingana na upepo mkuu. Kwa pattern hii, hata Magufuli akimaliza wakati wake utasema hivi hivi.
Ishu za Nyerere na makesi ya Uhaini muulize Mwenyekiti Msaidizi wako Lissu akusimulie vizuri.
Ulipaswa utafakari.Sasa Jenerali Ulimwengu yuko wapi sasa?Nikuambie tu,kwa mujibu wa katiba,hakuna mwenye uwezo wa kumnyang'anya Mtanzania uraia,hapo umekengeuka!
Erick bado kijana atafaiti tu umri unaruhusu,kukaa jell kuna lostisha zaidi mzee.wale wazee hawana cha kupoteza na mihela washatafuta na muda wao wa kuishi upo ukingoni,hawataki kuziachia familia zao umaskini kwa kukiri makosa wanaona bora wafie jelaHoja dhaifu. Kwahiyo Erick hataki kuiachia familia yake utajiri?
Inashangaza tumekuwa wavivu sana wa kufikiri mambo madogo kama haya. Nilivyoona wanamtumia mama kusaka huruma kwa sababu ya uongo (kukosa ile amount ya dawa) nikahitimisha huyu jamaa kayakanyaga!Jakaya alisema "Yakuambiwa Changanya na Akili zako" mwisho wa kumnukuu Mzee wetu busara zake. Vijana tuwe great thinkers twende nje ya box.
Mkuu Chakaza. Asante kwa mdahalo mzuri. Nalazimika kusitisha maoni yangu.Najua tunachukulia mambo kwa angle tofauti. Hizo kesi za uhaini niambie nani alibambikiwa? Labda tuanzishe thread kujadili tujuacho kuhusu kesi hizo itasaidia kidogo maana kusemea nimuulize Lissu nashangaa! Ungeweza kumwambia Lissu aniulize mie pia maana naweza kujua zaidi yake kwenye hilo.
Tukirudi kwenye mada, tumeingia katika kipindi kigumu sana cha kuitumia sheria vibaya kukandamiza wengine wasio makosa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado tito
Unalipiza eti... Ila pole umekosea pa kupiga.Unaona ulivyoonekana Mpumbavu Mdau?
Atakua mpambanaji feki basi,kumbe ni mbinafsi,si alijigamba kuwa amejitolea na yupontayari kwa lolote?
Mbona Rugemalira hajakiri kosa?
Ukiachana na kukiri kosa, mm nachojiuliza hizo mil 100 kesh alizotoa amezipata wapi? Wakat mama yake alikuwa analalamika kukosa dawa kilichopelekea kifo chake?
Lingine ni mbona wazungu wengi sana walikuwa wanahudhuria kesi yake? Nini kilichoko nyuma ya pazia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni kudanganyana na kudanganya watu..mnafanya wizi halaf mnategemea huruma ya wananchi..lol aibu Sana hii..Sometimes kukiri kosa haina maana umefanya kosa. Unafanya hivyo kutokana na mazingira na hali halisi ilivyo. Ni sawa mwanaume kuminywa ... bro, nakuhakikishia utakubali anaekubinya anataka nini hata kama sio kwa hiari yako. Tema mate chini uache yanayoendelea yasikukute na tambua tu kila lenye mwanzo lina mwisho..