Erick Kabendera aachiwa huru baada ya kukiri makosa na kufutiwa shtaka

Erick Kabendera aachiwa huru baada ya kukiri makosa na kufutiwa shtaka

Mkongwe Mzoefu,
Ni kosa kubwa sana kukiri makosa ambayo una uhakika ndani ya moyo wako kuwa hujayafanya..hii tafsiri yake ni kwamba uko tayari kusema uongo ilihali ukijua ni ukweli,kwa nini uisaliti nafsi yako?
 
Duh! Basi nimegundua wewe unajadiliana kulingana na upepo mkuu. Kwa pattern hii, hata Magufuli akimaliza wakati wake utasema hivi hivi.

Ishu za Nyerere na makesi ya Uhaini muulize Mwenyekiti Msaidizi wako Lissu akusimulie vizuri.

Najua tunachukulia mambo kwa angle tofauti. Hizo kesi za uhaini niambie nani alibambikiwa? Labda tuanzishe thread kujadili tujuacho kuhusu kesi hizo itasaidia kidogo maana kusemea nimuulize Lissu nashangaa!

Ungeweza kumwambia Lissu aniulize mie pia maana naweza kujua zaidi yake kwenye hilo.
Tukirudi kwenye mada, tumeingia katika kipindi kigumu sana cha kuitumia sheria vibaya kukandamiza wengine wasio makosa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hoja dhaifu. Kwahiyo Erick hataki kuiachia familia yake utajiri?
Erick bado kijana atafaiti tu umri unaruhusu,kukaa jell kuna lostisha zaidi mzee.wale wazee hawana cha kupoteza na mihela washatafuta na muda wao wa kuishi upo ukingoni,hawataki kuziachia familia zao umaskini kwa kukiri makosa wanaona bora wafie jela
 
Jakaya alisema "Yakuambiwa Changanya na Akili zako" mwisho wa kumnukuu Mzee wetu busara zake. Vijana tuwe great thinkers twende nje ya box.
Inashangaza tumekuwa wavivu sana wa kufikiri mambo madogo kama haya. Nilivyoona wanamtumia mama kusaka huruma kwa sababu ya uongo (kukosa ile amount ya dawa) nikahitimisha huyu jamaa kayakanyaga!

Kuna mambo siwezi kuyaandika hapa kuhusu Kabendera. Nitakuwa snitch. Kwanza imetosha so far.
 
Najua tunachukulia mambo kwa angle tofauti. Hizo kesi za uhaini niambie nani alibambikiwa? Labda tuanzishe thread kujadili tujuacho kuhusu kesi hizo itasaidia kidogo maana kusemea nimuulize Lissu nashangaa! Ungeweza kumwambia Lissu aniulize mie pia maana naweza kujua zaidi yake kwenye hilo.
Tukirudi kwenye mada, tumeingia katika kipindi kigumu sana cha kuitumia sheria vibaya kukandamiza wengine wasio makosa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Chakaza. Asante kwa mdahalo mzuri. Nalazimika kusitisha maoni yangu.
 
Mzukulu,
Mkuu acha kututishia wapi umemtetea mwanaharakati yeyote hapa tanzania na dunia kwa ujumla ? au ukiwa kwako na boxer unachati na kusema free fulani wakati hata huwezi kutoka kumsaidia.

Kiukweli hata kama ungekuwa ww huwzi kufiwa na mama yako na hali ya kukaa magereza alafu usubiri serikali iseme eti huna kosa wakuache. cha muhimu ni ww kukubaliana na hali yeyote ili utoke ila iko siku ukweli utajulikana nawatu wote,
 
Chakaza,
TUHUMA: Erick Kabendera alituhumiwa kwa utakatishaji fedha, kukwepa kodi na kuongoza kikundi cha uhalifu

HUKUMU; kulipa faini TZS 273M (utakatishaji fedha na kukwepa kodi)

Vipi hili kosa la tatu la 'kuongoza kikundi cha uhalifu' ni kikundi gani? Kimetajwa?
 
kama huwezi kumtetea mwanaharakati yeyote basi unga juhudi za awamu ya tano
 
Atakua mpambanaji feki basi,kumbe ni mbinafsi,si alijigamba kuwa amejitolea na yupontayari kwa lolote?
Mbona Rugemalira hajakiri kosa?

Huwa nawapenda sana Watu Werevu na wenye Uwezo mkubwa wa Kujenga Hoja kama Wewe. Nimependa sana huu Uwasilishaji wako wenye Mantiki kubwa mno.
 
Japo huwa sitetei yeyote sana kwa kujiamini kama sina ushahidi ila huwa naweza kusema maoni yangu kwa mazingira nayoyaona mm je anaonewa au anatendewa haki? Lakin ww hapa umefeli sana kisa kakiri kwako imekuwa ushahidi tosha kuwa amefanya kosa?

Unajua mazingira aliyokutana nayo huko maabusu? Je kama kalazimishwa kufanya hivyo ili aweze kutoka umejuaje? Acha kuwa dhaifu kiasi hicho na kukiri kwake sio ushahidi tosha kuwa amefanya labda kama unaushahidi wa kwako ww tofauti na wa police

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiachana na kukiri kosa, mm nachojiuliza hizo mil 100 kesh alizotoa amezipata wapi? Wakat mama yake alikuwa analalamika kukosa dawa kilichopelekea kifo chake?

Lingine ni mbona wazungu wengi sana walikuwa wanahudhuria kesi yake? Nini kilichoko nyuma ya pazia?


Sent using Jamii Forums mobile app

Kuna Watu mna Akili nyingi ( Werevu ) hapa JamiiForums hadi raha.
 
Sometimes kukiri kosa haina maana umefanya kosa. Unafanya hivyo kutokana na mazingira na hali halisi ilivyo. Ni sawa mwanaume kuminywa ... bro, nakuhakikishia utakubali anaekubinya anataka nini hata kama sio kwa hiari yako. Tema mate chini uache yanayoendelea yasikukute na tambua tu kila lenye mwanzo lina mwisho..
Acheni kudanganyana na kudanganya watu..mnafanya wizi halaf mnategemea huruma ya wananchi..lol aibu Sana hii..
 
Back
Top Bottom