sacred wall
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 804
- 1,322
Extortion occurs when someone attempts to obtain money or property by threatening to commit violence, accuse the victim of a crime, or reveal private or damaging information about the victim.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Extortion occurs when someone attempts to obtain money or property by threatening to commit violence, accuse the victim of a crime, or reveal private or damaging information about the victim.
Hakuwa na kosa. Na hakuna pesa iliyolipwa. Ameelekezwa cha kufanya ili aachiwe. Hata pesa aliyoambiwa alipe, hajalipa, ameambiwa atalipa taratibu. Lakini hatalipa.Watu tulisema atakua na makosa ya kujibu hakuna cha kubambikiwa kesi wala nn,sema wapinzani wanapenda kutetea sana mambo kama hayo,imebaki wanasiasa wenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Uliwahi kusikia mtu anaachiwa huru na mahakama bila ya kulipa faini aliyohukumiwa? Hiyo imetajwa tu, hakuma hata shilingi iliyolipwa, na hakuna itakayolipwa.Sasa mchange alipe hizo million 200+.Ama vepe mme wangu ?
Kuheshimu sheria au KUWA NA NIDHAMU YA WOGA...kuwa mkweli mwanaume acha kujilegeza.Tujifunze kuheshimu sheria
Wanasiasa waliomtumia wamemwacha peke yake
Usipende kusababisha au kuzidisha maumivu kwa wengine maana wote tumeumbwa na damu,tena usiombe yakukute wanayopitia hawa wakosoaji wakamatwapo/kutekwa.Wengine huomba wauliwe kabisa ili wasiendelee kuteswa kwa kutwezwa.Soma tu comments/u comment hapa JF.🤣🤣🤣🤣🤣 duu ! Mbavu zangu mie !!! 😂😂😂😂
Wanafanya vituko as if watu wote duniani ni wana CCM ambao hawaruhusiwi kuhoji chochote.Tunapitisha na kutekeleza maagizo/maelekezo ya mwenyekiti na siyo ya wenyenchi.Hakuwa na kosa. Na hakuna pesa iliyolipwa. Ameelekezwa cha kufanya ili aachiwe. Hata pesa aliyoambiwa alipe, hajalipa, ameambiwa atalipa taratibu. Lakini hatalipa.
Tunafanya mambo ya aibu na fedheha kubwa mbele ya uso wa Dunia.
Katoka kwa shinikizo la mabeberu kwa kuhofia kunyimwa misaada na sio kwa sababu ya huruma