Erick Kabendera aachiwa huru baada ya kukiri makosa na kufutiwa shtaka

Shida ni kuwa alipokamatwa mbona kuhangaika na masuala ya uraia? Hii taarifa naitilia shaka kwa asilimia 95%
 
Tokea mwaka 2015 baada ya zile sarakasi za kuchenji gear angani,ndio nika gundua kila mwana siasa either wa chama tawala au wa upinzani wote wana nunulika sababu wote wana tamaa za kupata hela kwa njia za mkato.

Wapinzani walio wengi wanatumia hii huruma kufanya mambo yao mengi ya kipuuzi sometimes mpaka kuiumiza nchi na sisi tunashindwa kuwauliza.Ripoti za CAG mara kibao upinzani wanapata hati chafu,lkn hawaulizwi zaidi ya hapo watainyooshea kidole serikali na CCM,ukiwauliza watakwambia "mbona CCM nao wana hati chafu".Sasa mtajitofautishaje nyinyi na CCM wakati wanayo ya fanya CCM na nyinyi mnayafanya,miaka yote wanakubali mdahalo lkn 2015 walikataa mdahalo ukiwauliza "mbona CCM nao wamekataa".

Zitto naye nilikuwa na mkubali,kumbe naye mpuuzi tu,wakati akihojiwa na BBC sakata ya kutaka kuzuia hela za mkopo kutoka benki ya dunia na kile alichokiandika kwenye barua ni vitu viwili tofauti.

Kwenye barua aliandika kwanza hela zizuiwe sababu serikali inakataza watoto walio pata mimba kuendelea na shule.Wakati ana ulizwa na Zuhura Yunus alijibu kwamba "zile hela zizuiliwe sababu zitatumika na CCM ktk kujenga vyuo ambavyo vinatumika na makada wa CCM" na aka sisitiza ushahidi anao.

Yaani mtu mmoja lkn ana badilika badilika,sasa kama ushahidi unao kwa nini husiuambatanishe huo kwenye barua mpaka utumie swala la mimba ili uzuie mkopo,wakati wizara yaelimu imetoa nafasi ya pili QT kwa mwanafunzi mwenye mimba kuendelea na masomo.

Haya swala jingine hili la Kabendera,mimi mwenyewe mwanzoni niliona kama hana hatia ,ila nilivyo soma hii thread nimekuja kugundua kuna baadhi ya WANASIASA,WANAHARAKATI na WAANDISHI wa habari wana amua kwa makusudi,kutumia hii huruma yetu kwao,kuharibu image ya nchi na kuhatarisha usalama na maslahi mapana ya nchi.

Najua humu mshaanza kumwita Habibu msukule wa Zitto,mnasahau kudiscuss hoja ambazo zime ambatanishwa na vielelezo vinavyo onyesha Kabendera alitakatisha fedha na ndio tatizo tulio kuwa nalo,hasa upinzani wakiguswa wana harakati au wanasiasa wa upinzani baada ya kujadili tuhuma zao,tunaanza kuwa kebehi wanao watuumu.
 
Kama maamuzi ya magufuli yana tija kwa nchi wananchi hawana shida. Sasa wewe unayeuliza kama ni nchi yake binafsi wewe kwani nchi hii yako? Yeye ni rais wananchi wamempa ridhaa kama unaona shida hama nchi
Jinga kweli wewe, unatoa majibu ya ki.pumbavu kwa hoja za msingi!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HII HABARI AIIMHUSU KABENDERA NAONA UNHEANDIKA ZITTO KILANNIPITAPO ZITOO HUUYU ANGEBEBA MSALABA WA HII POST MKUU
 
Kama kweli upande wa mashtaka walikuwa na uthibitisho wote huo, ni nini kilichokuwa kinachelewesha hiyo kesi kuanza kusikilizwa mahakamani? kwanini kila siku story ilikuwa upelelezi bado unaendelea?

Sent using Jamii Forums mobile app
Naam swali zuri sana 👏👏👏
Japo naamini shida yao ni hizo hela kuliko kesi iendeshwe hukumu itoke then atumikie kifungo bora wamshawishi akiri wavute mpunga
 
Mkuu hapo ndipo huwa tunasema mtu kuwa na "akiliccm" inabidi ujivike ujuha na kujivua weledi... wenzake wanashangilia maana wamesoma heading pekee si vilivyoandikwa!!
 
Ninaishia hapa kwa leo, nikisema KABENDERA MKANYE ZITTO ATAKUHARIBIA ZAIDI.
Wewe ni mwandishi wa habari?

Kiasi kwamba hata taratibu za benki zinavyofanya kazi huzijui hata kidogo?

Stori ndeefu saaana yote inaishia kumlalamikia Zitto? Huyo Zitto ana'supernatural power' juu ya watu wengine wote?

Hivi waandishi wa habari nchi yetu hii, mbona mmekuwa watu msiotambua kitu? Yaani hata kuandika taarifa ya uongo ionekane kidogo inaweza kuaminika kwa msomaji pia hamuwezi?

Kunakili hamuwezi, kutunga stori za kuungaunga hamuwezi, ni kipi mnachoweza?
 
Unaongea kana kwamba matamshi yako ndio sheria, yani Ujinga wakiwangu Cha juu mno.

Nilitegemea nitakuta nakala hata moja ya uthibitisho wa haya uliyoyaorodhesha hapa lakini unajifanya eti Kabendera alikiri.
Alikiri katika mazingira gani? Unaweza kuweka hapa ushahidi wa kukiri kwake?

Yani ukwepe Kodi ya zaidi ya milioni 300 ulipe fine ya laki mbili na nusu??

Alafu unajiita muandishi? Muandishi wa nini hasa? Maana hata muandishi wa kula matunda kimasihara Hana upunguani Kama huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana kweli msemo wa "penye moshi.." una ukweli?
Ama kweli Leo nimeamini habari unapoisoma, msomaji anaamua yeye namna ya kuielewa kutokana na itikadi/mrengo wake.

Yani Ni Kama hapa habari hii haina uthibitisho wowote Ni muandishi anaandika kwa ku command msomaji aamini anachosema not otherwise. Kwamba hakuna haja yoyote ya uthibitisho wa nakala yoyote Bali maneno yake tu.

Na wewe umechagua fungu lako dah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa shidaaa iko wspiii? Unajua alikua akifanyaaa biashara gani haduiii akaingiziwa hizio oesa?? Ungeeelezavsababu ya hizon pesa. Vinginevuo shut up

Don't make a promise you can't fulfill...
 
Upumbavu kabisa huu mnatuletea enyi wapumbavu wa kizazi hiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Point namba one is very serious and inaharibu I halali wa andiko lote
 
Zitto anatafuta simple popularity wakati mwenzake yamemfika makubwa
Na hiyo ndiyo itakayommaliza.
Yaani leo hivi hajulikani anasimamia nini!?
Yaani serikali ikipita kushoto yeye atapita kulia. Serikali ikipita kulia yeye atapita kushoto.
Haitokei hatua akakiri huku mlikopita serikali hata mimi najua ndio njia sahihi.
Na alivyo fala anafikiri amefanikiwa kulaghai UMMA.
Asubiri tu wapiga kura watamjibu
We are not stupid.
Mnafikiri hizi stupid arguments zinasaidia!??
 
Mkiambiwa serikali ya kichawi na kishetani mnakataa.
Keep on asking babe! Ila huyu Kabendera ashukuru Mungu Serikali iliyopo madarakani ni ya Kidemokrasia na yenye kuzingatia Utawala Bora na Haki za Kibinadamu. Ningelikuwa mimi ndiye Mkulu wa Nji hii, Angelikuwa historia!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…