Erick Kabendera aachiwa huru baada ya kukiri makosa na kufutiwa shtaka

Wanaweza uchawi na ushetani.
 

Kati ya yote uliyoelezea binafsi naona kuna jinai ya kawaida lakini sioni wapi kuna uhujumu uchumi na nafikiri ungejikita zaidi kwenye uhujumu uchumi ili kujustify kilichomweka ndani muda wote ule bila dhamana
 
Tanzania haitaendelea kwasababu ya takataka Kama wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua maana ya "fact"!?
Kuna "fact" gani hapo!!?
 
huyo kabendera wenu ni bonge la fala, narudia tena huyo kabendera ni bonge la fala na tena kwa kuwa amekiri yeye mwenyewe ilitakiwa mahakama imtie hatiani na kumpa kifungo kirefu ikiwezekana cha Maisha kabisa au kunyongwa ili iwe fundisho kwa wanao ''isaliti sirikali hii'', pumbafu zake, yaani mama yake amekufa tukachangishana ili kumsitiri kumbe ana milioni175 za kuilipa hii sirikali kwa
 
Wengi wanajifanya hamnazo kwa kuingiza siasa kwenye jambo ambalo liko wazi kabisa. Ushauri wako kwa Kabenera ni kuntu usio na dosari.
 
Kama ushahidi ulikuwepo na unajitosheleza kwa nini wamemuweka mahabusu zaidi ya miezi 7 wakidai ushahidi haujakamiloka??

Tungetegemea ushahidi uwekwe mezani ili kesi ya msingi ianze kuunguruma ili tuone Nani angemgaragaza mwenzake kisheria,

Au serikali kupitia kwa mwendesha mashitaka wanajua mapungufu ya mashitaka hivyo wanataka plea bargain kama shortcut ili kumkomoa mtuhumiwa,

Hii siyo sawa, siyo haki
 
Mashtaka ya mtu siyo kama sehemu nyeti ati! Mlikuwa mnapiga kelele kila siku hana makosa na kama ana makosa mbona hayawekwi wazi! Yamewekwa wazi sasa unahamisha tena goli!
Miezi saba makosa hayakuwa wazi, yamekuwa wazi baada ya kulipia
 
Ona huyu Mbuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maelezo marefu sana, sijaona kosa la kimahakama kuhusu kupokea hizo pesa. Kwa hela hizo, faini na fidia bado anabaki na pesa ya kutosha sana! Kama alitakatisha pesa kwa akaunti hizo, mabilioni, mbona mmemtoza 250,000 na 200ml tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanasayansi kwenye siasa wanavurunda hawana uwezo wa kujibu hoja sababu hawakufanya morning debate mashuleni
 

Aliyekutuma ni kilaza kama wewe! Yaani unazungumzia uhuru wa mahakama Tanzania? Mwehu kweli wewe! Toka lina kukawa na practical independence ya mihimili miwili ya serikali? Kwa maana ya bunge na mahakama? Au kwa sababu umechumia tumbo hadi kichwani akili zimeganda hadi umebaki na kamasi tu? Shame on u.....huu upumbavu ulioandika hapa nenda huko kijijini kwenye ukoo wako unaotumia nao hizo pesa unazopewa baada ya kumlamba viatu Magufuli ndiyo watakuelewa!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mchange si alishaacha siasa anawashwa nn.lini ataunga juhudi
 
Mashtaka ya mtu siyo kama sehemu nyeti ati! Mlikuwa mnapiga kelele kila siku hana makosa na kama ana makosa mbona hayawekwi wazi! Yamewekwa wazi sasa unahamisha tena goli!
Vipi lile genge lake la uhalifu ni lini litakamatwa maana tumeona ni yeye tu akifika mahakamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…