Hata sasa hana makosa, fool. Kwa mujibu wa sheria zetu, mtu hawezi kuwa na makosa mpaka athibitishwe na mahakama. Sasa wewe umekuwa mahakama?Mashtaka ya mtu siyo kama sehemu nyeti ati! Mlikuwa mnapiga kelele kila siku hana makosa na kama ana makosa mbona hayawekwi wazi! Yamewekwa wazi sasa unahamisha tena goli!
Plea bargain imekuja wakati ambapo serikali haijathibitisha kwahiyo ili utoke ni LAZIMA UKIRI whether umefanya au lah.Ushahidi wa nini wakati mtuhumiwa kakiri kosa?,wewe ni punguani mkubwa
Ameweka ili watu wajue ukweli...wengi Sasa wataelewa...huyo jamaa haluonewa...dola Ina mkono mrefu...Kuna watu maarufu walitaka kuleta uchochezi na usaliti...wakasambaza waraka wakidhani Hali ya kisisa itakuwa against head of state...watu wakaweka sauti zao zenye mwelekeo wa uhaini...ukawa ndio mwisho wa waraka...kilichoendelea baada ya hapo Sina haja ya kukiweka hapa...
Yamkini kapewa uhakika wa kulipaalikataa kuwa hausiki na lolote, suddenly mwisho anakubali kusign na kukubali makosa. Kuna kitu hapo hakipo sawa!
Hela yote hyo kama kweli mama yake angekufa kwa kukosa matibabu?alikataa kuwa hausiki na lolote, suddenly mwisho anakubali kusign na kukubali makosa. Kuna kitu hapo hakipo sawa!
mwenzangu, watakushusha sukari bureHela yote hyo kama kweli mama yake angekufa kwa kukosa matibabu?
Mh!
Wacha nimeze zangu ARV nilale[emoji40]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiingii akilini hata kidogo! Pia mbona mke wake hakuwa implicated? Walimhurumia? Syndicate Hukumu haikuonyeshwa ilikuwa ilifanyikaje? players walikuwa wepi na nchi gani? edha zilitoka nchi gani? Unaona kuwa hukumu hiyo ni ya magumashi!Hela yote hyo kama kweli mama yake angekufa kwa kukosa matibabu?
Mh!
Wacha nimeze zangu ARV nilale[emoji40]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi ni story za kutunga, hakuna ukweli hapo? Ni hela nyingi sana, nani amtumie hela yote hiyo, hawakumtaja! Impossible! Huyu atakimbia nchi na atausema ukweli akiwa nje!Hadi mwili umetetemeka, hizi hela zote zilikuwa za nini? na kwa biashara gani?
Waedesha mashitaka hawakushindwa popote na Wala hawakuwa na kigugumizi...tatizo ni kuwa habari za humu mitandaoni zilikuwa one sided in favour of kabendera...Asante sana Mchange kwa kuweka wazi nini contents za mashtaka ya Kabendera. Hii kama ina ukweli basi mchezo umeisha , ingawa watu watahoji. Kama makossa yako wazi hivi ni kwanini waendesha mashitaka walikuwa wanapata kigugumizi cha kumaliza kesi asubuhi na mapema? Mbona uhalifu hapa kwa maelezo yako Mchange upo wazi kabisa hata kwa mtu asiyejua sheria, je Waendesha mashitaka walikuwa wanakwama wapi. Labda nduyu yetu Mchange tusaidie hapo sisi mambumbu ambao kwa sisi tulioshindwa kuaccess hizi information tulisimama na Kabendera kwa kutojua baada ya kuona waendesha mashitaka wanaaelekea kushindwa kukusanya ushahidi na kumaliza kesi, ambao kwa maelezo yako hapa yako obvious.
Dah....Tanzania kwa hakika Ina baadhi ya watu was ajabu kabisa...poleniHakuonewa?? Issue ni kwamba serikali imeshindwa kuthibitisha makosa ya jamaa kisheria imebakia kutafuta ushahidi inaelekea mwaka so wameamua kumkomoa tu hii sheria ya uhujumu uchumi kunyimwa dhamana inatumika vibaya sana.
Kma ushahidi hamna mtu aachiwe hta kwa kifungo cha nje akisubiri ushahidi ajitetee
mwenzangu, watakushusha sukari bure
Tuhifadhii hii commentHizi ni story za kutunga, hakuna ukweli hapo? Ni hela nyingi sana, nani amtumie hela yote hiyo, hawakumtaja! Impossible! Huyu atakimbia nchi na atausema ukweli akiwa nje!
Waedesha mashitaka hawakushindwa popote na Wala hawakuwa na kigugumizi...tatizo ni kuwa habari za humu mitandaoni zilikuwa one sided in favour of kabendera...
Mbona iko wazi kila kesi ikiitwa wanadai uchunguzi haujakamilika. Alicholist hapo Mchange ni tuhuma ila mahakama inadeal na kutafsiri sheria kma ilikiukwa kwa kusikiliza utetezi na ushahidi ulioletwa.Dah....Tanzania kwa hakika Ina baadhi ya watu was ajabu kabisa...poleni
Kwa jinsi nilivyo ona "P.O. Box 7439" na kuhusishwa na kampuni yenye miamala hapo juu, naanza kumuelewa Mzee JK alivyosema "sasa bora tusomeshe wanasayansi au wahandisi zaidi kuliko watu wa arts wanaokuja kuwa wanasheria.
Wanasheria wakikosa kazi wanajiingiza kwenye siasa na nchi haitawaliki."
Kwa busara zake na washauri wake wakaanzisha vipaumbele kwenye mikopo ya elimu ya juu.
Wanasayansi wakapewa hadi 100% na watu wa sayansi ya jamii, lugha na sanaa wakapata kiwango kidogo.
Sikumuelewa kwa ubaguzi wake, kumbe alikuwa na mengi ana yaona kwenye makabrasha yake ambayo mengine kamuachia mrithi wake,nae analalamika anakesha akiyasoma.