Erick Kabendera aachiwa huru baada ya kukiri makosa na kufutiwa shtaka

Amini Kabendera ametumiwa sana na wanasiasa na makapuni ya nje. Makala zake nyingi alizoandikia magazeti ya nje, zilikuwa zikitayarishwa na wanasiasa au makampuni hayo naye akizirusha tu.

Usikute wanasiasa kama Zitto walikuwa wakitumia accnt hizo kuingizia pesa wanazolipwa na mabeberu na kuzihamishia mifukoni mwao.
 
Angetoka bila mashariti ningekuelewa,MTU kakaa miezi saba na analipa million 274 halafu halafu unaleta nyenyeee!!!
Kuweni mnachekecha akili zenu!Kwanini alivyoandika barua mara ya kwanza pamoja na watuhumiwa wengine waliokuwa mahabusu baada ya agizo la Rais hakuachiwa huru na DPP?Na agizo la Rais lilikuwa mtuhumiwa yeyote atakayendika barua ndani ya muda ya kukiri na kukubali kulipa aachiwe huru!Kwanini Kabendera aliwekwa kando?Mabeberu wana mkono kwenye kuachiwa kwake,ili iwe win win situation ndio yakatengenezwa mazingira kama hayo,serikali isiabike lakini na Kabendera awe huru!Tafakari!
 
Wengi wanajifanya hamnazo kwa kuingiza siasa kwenye jambo ambalo liko wazi kabisa. Ushauri wako kwa Kabenera ni kuntu usio na dosari.
kabisa kabisa. namuona M,change hapa katoa ufafanuzi mzuri sana
 
umemaliza kila kitu mzee baba
 
hata mie niliyaona marefu nikataka kluyapuuza. lakini kadri nilivyokuwa nikiyasoma nimekuwa nikielewa na kuelewa

kwenye hili Habibu ametufumbua macho wengi
 
point please
 
una hakika na ukinenacho>
 
Reactions: Ole
Tuelewane hapa. Kosa la Kabendera ni ukwepaji Kodi, kodi ya malipo halali yaliyoingia kwenye hizo accounts. Na kwa sababu Pesa/kodi ya TRA ameitumia na ameiingiza kwenye mzunguko basi mwingine. "ameitakatisha" sasa ametakiwa alipe kodi hiyo, Fidia ya kukwepa wajibu wa ku declare TRA malipo, faini ya utakatishaji pesa isiyo yake na faini ya kukwepa kodi.
 

Attachments

jd41,
Ninaye colleague wangu kwenye kikosi cha plea bargain. Kaniambia hivi ; Hata sisi tunajuwa kuwa kinachoendelea ni kinyume cha sheria na watuhumiwa wanaonewa, lakini haya ni maagizo toka juu. Usipotekeleza ina maana umejifukuzisha kazi" .

Kwa hiyo unataka sisi tumwamini huyo collegue wako. JF raha sana.
 
Kikundi cha kihalifu ni pamoja na walioshiriki kumpa mpunga pamoja na kumfungulia accounts. Mwenyewe kakubali nyinyi mnapiga filimbi tu hapa na huo mkwanja mnaota hamuwezi kuupata katika Maisha yenu.
 
Kamuamini mumeo!!

Hapo ndipo ulipogota, kwa sababu wewe unategemea mume huwezi kufahamu, issue zikikushinda unakimbilia kwenye matusi, if that helps you to feel better you are welcome.
 
Hapo ndipo ulipogota, kwa sababu wewe unategemea mume huwezi kufahamu, issue zikikushinda unakimbilia kwenye matusi, if that helps you to feel better you are welcome.
Kwani wewe ni mgeni Tanzania? Au umeamua kutumia fuvu la kichwa kubebea nywele tu. Use your gray matter if at all you have some. Kama huwezi kuona udhalimu wanaofanyiwa wakosoaji wa mfumo kandamizi then you are useless to this nation.
 
Kikundi cha kihalifu ni pamoja na walioshiriki kumpa mpunga pamoja na kumfungulia accounts. Mwenyewe kakubali nyinyi mnapiga filimbi tu hapa na huo mkwanja mnaota hamuwezi kuupata katika Maisha yenu.
Swali linakuja akshabu ya kuongoza kikundi cha uhalifu nini? Kwa kuwa tumeona adhabu 2 ya kukwepa kodi na kutakatisha fedha!

Mnashangilia wakandamizaji wa haki za binadamu kwa kuwabandika watu makosa ambayo hawajatenda. Hata shetani anawashangaa
 

Nadhani una matatizo yako...soma vizuri makubaliano hayo ambayo Kabendera amekiri mwenyewe...soma vizuri....usikimbilie kwa haki za binadamu....kitu hiki hakipo duniani....ukiichezea dola unakwenda na maji...Hakuna cha kubambikiwa hapa.Acha kulia lia...Acha kulalamika pasipo sababu...Uwe objective...Ukweli umewekwa hadharani unataka nini sasa...Heshimuni mamlaka...dola ina mkono mrefu...Wananchi hawakuwa na shaka na hii kesi...wewe na wenzio wachache ndio mliokuwa mkipiga kelele pasipo sababu na mkitaka ukweli uwekwe hadharani...sasa ukweli umewekwa hadharani lakini bado mnapiga kelele....uhaini na usalitini jambo baya sana duniani kote...Nchi nyingine nyingi duniani wasaliti na wahaini hupigwa risasi pasipo huruma...Tanzania hatuna utaratibu na utamaduni huo....
 
Eric Kabendera itakuwa na makosa yeyote bali amenuua uhuru wake ulioporwa na Serikali dhalimu kwa fedha.
 
Eric Kabendera itakuwa na makosa yeyote bali amenuua uhuru wake ulioporwa na Serikali dhalimu kwa fedha.

Amenunua uhuru gani???!!! Nyie watu wa ajabu mno...mkiaminishwa kuwa huyu amenunua uhuru na nyie mnaimba hivyo hivyo kama mlivyokaririshwa...Sometimes you people you have to use your heads....Kabendera amefungua accounts kibao anaingiziwa dollars na pound sterling kutoka kwa hao wanaomtumia...Nyie bado mnasema amenunua uhuru...sawa amenunua uhuru sasa mnataka nini??? Nchi hii ina taratibu zake...

Tanzania ni sovereign state...America nayo ni sovereign state ndiyo maana imeapa kumshughulikia yule jamaa aliyetoa siri za udukuzi...mbona hamsemi huyo jamaa naye anaonewa??? Acheni kupiga kelele ...Hii ni nchi huru...mkianza kupiga kelele sijui nini haki za binadamu sijui mabalozi mtakwenda na maji ...hawawezi kuja kuwasaidia hapa...Ukiitwa na dola nenda kajisalimishe siyo unajifungia ndani na kutamba kuwa eti kuna haki za binadamu...acheni hizo...

Serikali hapori uhuru wa mtu....ila wewe Mtanzania mwenzetu ukieuka na kuanza kuwatumikia watu wa nje na wa ndani against this state lazima utashughulikiwa bila kujali kelele za haki za binadamu...Ukitoa siri za taifa hili kwa wageni wewe ni adui wa taifa hili na tutakushughulikia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…