Erick Kabendera aachiwa huru baada ya kukiri makosa na kufutiwa shtaka

Erick Kabendera aachiwa huru baada ya kukiri makosa na kufutiwa shtaka

Shinikizo la kuachiwa Kabendera toka nje hakika lilikuwa sio stahimilivu na serikali ilishindwa kuendelea kulibeba.

Jee mnafanyaje? Habari chini ya kapeti zasema bargaining lazima ifanyike ili kupata win-win situation. Serikali isionekane ilikuwa inakusingizia hivyo ukiri kosa na wewe usiozee gerezani kwa mateso kiri kulipa hela ambazo huna nasi tutapokea hela hewa toka kwako mchezo umeisha, maisha yanaendelea tuu.

Nimeona watu wanaanza kumuandama Kabendera kuwa kakiri makosa hivyo ni mkosaji na kumbe hakustahili huruma! Huko ni kumuonea na ni kutokujua magumu aliyopitia Kabendera kipindi cha miezi saba iliyopita ambayo mtu yeyote angepewa masharti aliyopewa yeye angeyatekeleza asubuhi na mapema.

Kuhusu Pesa wasemazo alikuwa nazo basi ni wale wasiojuwa maisha ya familia ya Kabendera kabla ya kazia na baada.

Tumshukuru Mungu ametoka salama lakini ukweli kina siku utakuwa wazi. Inshaallah!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama waendesha mashtaka wa serikali wangekuwa wanafanya kazi zao kwa wepesi, na wapelelezi kukamikisha upelelezi wao kwa haraka, hizi kesi za uhujumu uchumi zingeisha mapema na washtakiwa wengi wangeshinda kesi zao.

Wengi wa wanaotuhumiwa kwa hilo kosa ni wanaonewa tu, na hata wale wanaolipa pesa wanafanya hivyo ili watoke gerezani tu, hawataki maumivu ya gereza, but wengi wao hawana hatia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom