Erick Kabendera aachiwa huru baada ya kukiri makosa na kufutiwa shtaka

Erick Kabendera aachiwa huru baada ya kukiri makosa na kufutiwa shtaka

Waliomtuma akachezee Mdomo wa Mamba wamemuacha Solemba, hata zile hashtag za Free Kabendera wamefuta kwny page zao za Mitandao ya Kijamii

Sent using Jamii Forums mobile app
Una amini Kabendera alitumwa na wapinzani?Haikosi na ushahidi unao,ila mbona hayo mashtaka hayana uhusiano na unachotaka kutuaminisha?

Mashtaka ya aina gani haya yanabadilishwa kwa rushwa? Iweje mtuhumiwa anatekwa,baadaye mnasema anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za uchochezi,akifikishwa mahakamani katakatisha fedha, kahujumu uchumi, kakwepa kodi then unasema amesamehewa/kafutiwa baadhi ya mashtaka baada ya kukiri na hukumu ya mwisho ni faini Tshs 250,000/=?Still you guys think that it's OK?

Mimi nasema Kabendera kanunua Uhuru wake,he paid by being detained for long months in Prison and paid his ransom formally.
 
Atakua mpambanaji feki basi,kumbe ni mbinafsi,si alijigamba kuwa amejitolea na yupontayari kwa lolote?
Mbona Rugemalira hajakiri kosa?
Wazee wa escrow wamegoma kuusujidia msalaba watatoka kwa wakati wa Mungu ukifika waligomea msamahaa wakiwa wao ndo walengwa
 
Hujui maana na hutajua,kama kukiri bado unatetea si hatia ,inamaana ni mpambanaji muoga ,huko alipokua unafikiri katoa siri ngapi za anaoshirikiana nao?,mchakato mpaka kutemwa haukua wa kitoto jomba,hivi unaijua serikali wewe?,yaliowekwa hadharani ni madogo kuliko ambayo serikali imeyatunza,take care
Kukiri kosa hakumaanishi umetenda kosa ni umepima kipi bora ukubali ili ununue Uhuru wako au usote ndani ukisubiria haki yako
 
Hujui maana na hutajua,kama kukiri bado unatetea si hatia ,inamaana ni mpambanaji muoga ,huko alipokua unafikiri katoa siri ngapi za anaoshirikiana nao?,mchakato mpaka kutemwa haukua wa kitoto jomba,hivi unaijua serikali wewe?,yaliowekwa hadharani ni madogo kuliko ambayo serikali imeyatunza,take care
Katoka kwa shinikizo la mabeberu kwa kuhofia kunyimwa misaada na sio kwa sababu ya huruma
 
Tulikofika kama taifa panafikirisha sana...!!
Yaani makusanyo kwanza...!!
Mkondo wa kutoa haki baadaye...!!
Kama huna pesa kununua Uhuru wako ndo inafia kwako!!
 
Ukiachana na kukiri kosa, mm nachojiuliza hizo mil 100 kesh alizotoa amezipata wapi? Wakat mama yake alikuwa analalamika kukosa dawa kilichopelekea kifo chake?

Lingine ni mbona wazungu wengi sana walikuwa wanahudhuria kesi yake? Nini kilichoko nyuma ya pazia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunahitaji kuwa na katiba itakayo-guarantee uhuru wa watu kujieleza na kufutwa kwa hizi sheria kandamizi zinazolenga kuwakomoa wale wanaoikosoa serikali.

Hii tabia ya kuwabambikia watu vyesi visivyo na dhamana inatakiwa ikomeshwe kwani haiwezi kuifikisha hii nchi popote.

Kila tuhuma inafaa mtuhumiwa awe na haki ya kupewa dhamana kwani huu utaratibu wa sasa unatumiwa na mtawala kuwakomoa wale wanaotofautiana naye.
 
Hujui maana na hutajua,kama kukiri bado unatetea si hatia ,inamaana ni mpambanaji muoga ,huko alipokua unafikiri katoa siri ngapi za anaoshirikiana nao?,mchakato mpaka kutemwa haukua wa kitoto jomba,hivi unaijua serikali wewe?,yaliowekwa hadharani ni madogo kuliko ambayo serikali imeyatunza,take care
Umejuaje kama yaliyowekwa hadharan ni machache kuliko yaliyofichwa?
Acha unafiki na umbea kuhisi hisi tu. Halafu ww uijue serikali wenzio wasiijui kwann? Eti unaijua serikali ww kwahiyo ww tu ndo unaijua?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kawe ni siri gani alivujisha Erick??
Kwani aliyoandika sio ukweli??
Kukwepa kodi ndio siri??
Unafurahi kufunga watu midomo kwa njia yoyote ile??
Basi ona aibu upractice amani unayo hubiri!!
Tunashukuru kumuachia kijana wetu!!
 
Sometimes kukuri kosa haina maana umefanya kosa...unafanya hivyo kutokana na mazingira na hali halisi ilivyo...ni sawa mwanaume kuminywa mapumbu bro...nakuhakikishia utakubali anaekubinya anataka nini hata kama sio kwa hiari yako...tema mate chini uache yanayoendelea yasikukute na tambua tu kila lenye mwanzo lina mwisho..
🤣🤣🤣🤣🤣 duu ! Mbavu zangu mie !!! 😂😂😂😂
 
Ukiachana na kukiri kosa, mm nachojiuliza hizo mil 100 kesh alizotoa amezipata wapi? Wakat mama yake alikuwa analalamika kukosa dawa kilichopelekea kifo chake?

Lingne ni mbona wazungu wengi sana walikuwa wanahudhuria kesi yake? Nini kilichoko nyuma ya pazia?

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu msaliti ashukuru tu mungu ! Huko Marekani angejuta! Wanaharakati asilimia kubwa ni mawakala wa mataifa yasio tutakia mema !
 
sayoo,
Hata mimi nimeona kajiunga hapa JF juzi tu na hii ID! Basi atupe ID yake ya zamani tujiridhishe kama alisimama na Kabendera!Ninachoona ni muendelezo wa kuaminisha watu kuwa Kabendera ana hatia kisa tu kakiri! Swali la kujiuliza,mbona wamekubali sasa?

Mbona wakati ule alipoomba pamoja na watuhumiwa wengine baada ya Rais kutoa maagizo Kabendera hakujibiwa? Au aliachwa asote kwanza? Katika hili ni win win situation!Serikali haijataka kumwachia kwa kudhalilika lakini pia shinikizo la Mabeberu juu ya kabendera limelipa!
Mjinga pekee ndiye hataona hili!
 
Back
Top Bottom