Una amini Kabendera alitumwa na wapinzani?Haikosi na ushahidi unao,ila mbona hayo mashtaka hayana uhusiano na unachotaka kutuaminisha?Waliomtuma akachezee Mdomo wa Mamba wamemuacha Solemba, hata zile hashtag za Free Kabendera wamefuta kwny page zao za Mitandao ya Kijamii
Sent using Jamii Forums mobile app
Mashtaka ya aina gani haya yanabadilishwa kwa rushwa? Iweje mtuhumiwa anatekwa,baadaye mnasema anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za uchochezi,akifikishwa mahakamani katakatisha fedha, kahujumu uchumi, kakwepa kodi then unasema amesamehewa/kafutiwa baadhi ya mashtaka baada ya kukiri na hukumu ya mwisho ni faini Tshs 250,000/=?Still you guys think that it's OK?
Mimi nasema Kabendera kanunua Uhuru wake,he paid by being detained for long months in Prison and paid his ransom formally.