Erick Kabendera aachiwa huru baada ya kukiri makosa na kufutiwa shtaka

Erick Kabendera aachiwa huru baada ya kukiri makosa na kufutiwa shtaka

Vibendera katika ubora wao
Tayari wamelishana Matango pori
Hahahaha
Matango pori umelishwa wewe mtupori, Kabendera wa mamaye kukosa fedha za matibabu mpaka abangaize ndiye wa kulipa milioni 100 na 26 kila mwezi kwa miezi 6 mfululizo? Labda humjui huyo Kijana unadandia tuu.
Hiyo sanaa wajuzi wa sanaa wamesha i piga chini. Haina kiwango

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkongwe Mzoefu,
Erick Kabendera kuwa huru ni muhimu kuliko kuwa magereza. Hakuna ushujaa kuishi gerezani. Amenunua uhuru wake kupitia 'plea bargain'. Atapambana kwa rufaa akiwa huru kufuta hii jinai. Atamuomba Mungu wake msamaha kukiri uongo. Ni dhambi kukiri uongo. Wababe hufurahia kutesa watu
 
Umeandika kwa hisia. Ukikiri kosa sheria hairuhusu kukata rufaa. Unakata ya nini wakati umeshakiri makosa mwenyewe? Unaelewa maana ya kukata rufaa mkuu?
 
jd41,
Ninaye colleague wangu kwenye kikosi cha plea bargain. Kaniambia hivi ; Hata sisi tunajuwa kuwa kinachoendelea ni kinyume cha sheria na watuhumiwa wanaonewa, lakini haya ni maagizo toka juu. Usipotekeleza ina maana umejifukuzisha kazi" .
 
Hivi ww kwa akili yako unajua kuwa hana kosa? Umejiuliza mwandishi wa Habari yupi na kwa msahahara Upi anaweza kulipa mil 100? I am sure ungekuwa ww ungefia gerezani pamoja na offer hiyo ya msamaha .
 
Subiri uone baada ya utawala huu wa kifashisti kuondoka wimbi la watu kwenda mahakamani kutaka mahakama kuwasafisha kwani walilazimishwa kukiri makosa ambayo siyo yao.
Hilo litatokea sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Ramli hii. Ingekuwa rahisi hivyo basi baada ya uongozi wa Nyerere na Mkapa kesi za hivyo zingekuwa nyingi. Mahakama hizi zina taratibu zake, haziendeshwi kishabiki mkuu.
 
Matango pori umelishwa wewe mtupori, Kabendera wa mamaye kukosa fedha za matibabu mpaka abangaize ndiye wa kulipa milioni 100 na 26 kila mwezi kwa miezi 6 mfululizo? Labda humjui huyo Kijana unadandia tuu.
Hiyo sanaa wajuzi wa sanaa wamesha i piga chini. Haina kiwango

Sent using Jamii Forums mobile app
Unamjua Erick vizuri? Unadhani ni njaa kali? Uliamini mama yake alikosa pesa ya matibabu?
 
Ungekuwa wewe uko ndani,usingenunua uhuru wako?Hao akina Ruge huwezi jua,pengine wanataka waziache familia zao na utajiri!
Hoja dhaifu. Kwahiyo Erick hataki kuiachia familia yake utajiri?
 
Umeandika kwa hisia. Ukikiri kosa sheria hairuhusu kukata rufaa. Unakata ya nini wakati umeshakiri makosa mwenyewe? Unaelewa maana ya kukata rufaa mkuu?
Principally you are correct, lakini itakuja regime yenye utu baada ya hii ya kinyama. Bunge la baadaye linaweza kutengeneza hata sheria ya mpito ili ku-heal haya manyanyaso na maonevu.

Fikiria kuhusu Hermanus Steyn aliyedhulumiwa mwaka 1982 wakati wa JKN, lakini amekuja kulipwa kati ya mwaka 1998 na 2019. Haki haizeeki wala haifi
 
Sheria haiangalii hizo mambo mkuu. Ni sheet by sheet. Clause by clause. Hazina emotions.
Punguza mahaba, jee unaamini kuwa Kabendera kalipa milioni 100 taslimu na kuwa ataendelea kulipa milioni 26 kila mwezi kwa miezi 6?

Unajua tuu kuwa mama yake aliyekuwa akimuuguza miezi miwili tuu baada ya kukamatwa alikuwa anachangiwa elfu mbilimbili za kutibiwa na ndugu, jamaa na marafiki?

Kwa nini macho yenu yanashindwa kuona mazingaombwe hata ya wazi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inamaana hujui mabeberu walivyo macho sana na waandishi wa habari?Hili linajulikana mbona!Ukigusa wanahabari basi utaona nguvu yao!We fikiri kila siku kesi ilipokuwa inatajwa walikuwa wanatuma watu wao na tuliwaona!
Mwandishi wa Habari Kabendera ana maslahi nao gani? Maana kama ni ishu ya waandishi, hao wengine waliowahi kuwa na kesi mabeberu walikuwa wanatuma watu wao?
 
Punguza mahaba, jee unaamini kuwa Kabendera kalipa milioni 100 taslimu na kuwa ataendelea kulipa milioni 26 kila mwezi kwa miezi 6?
Unajua tuu kuwa mama yake aliyekuwa akimuuguza miezi miwili tuu baada ya kukamatwa alikuwa anachangiwa elfu mbilimbili za kutibiwa na ndugu, jamaa na marafiki?
Kwa nini macho yenu yanashindwa kuona mazingaombwe hata ya wazi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka, Mama Kabendera (Mungu amrehemu) hakukosa dawa kiasi cha kuchangiwa. Zile ni stunt za kusaka huruma. Nimekuuliza unamjua vizuri Kabendera maisha yake? Binafsi namfahamu. Hana njaa hiyo.

Unajuaje hakulipa? Au unatumia hisia?
 
Hivi ww kwa akili yako unajua kuwa hana kosa? Umejiuliza mwandishi wa Habari yupi na kwa msahahara Upi anaweza kulipa mil 100? I am sure ungekuwa ww ungefia gerezani pamoja na offer hiyo ya msamaha .
Eric Kabendera hana kosa lolote. Yeye ni invesgative journalist basi!! Alichoandika kimewaudhi madikteta wanaotawala Tanzania. Walipokosa majibu ndiyo wakambambikiza makosa ya AML.
 
Matango pori umelishwa wewe mtupori, Kabendera wa mamaye kukosa fedha za matibabu mpaka abangaize ndiye wa kulipa milioni 100 na 26 kila mwezi kwa miezi 6 mfululizo? Labda humjui huyo Kijana unadandia tuu.
Hiyo sanaa wajuzi wa sanaa wamesha i piga chini. Haina kiwango

Sent using Jamii Forums mobile app

Kabisa Kiongozi, Eric Kabendera awashukuru waTanzania kuchangia familia yake iliyokuwa haina fedha za kutosha kumsitiri marehemu mama yake wakati wa msiba na mazishi, hilo tunaona ni kweli fedha hakuna. MaTomaso wakisilize Eric alielezea hali ya kifedha ya familia yake na shukran kwa michango:

Source : millard ayo
 
Back
Top Bottom