AggerFirminho
JF-Expert Member
- Sep 17, 2019
- 2,318
- 4,106
Milioni 172 ilibidi nicheke ..[emoji2][emoji2][emoji2] nikajua hapo una mutual agreement tu hakuna jipya
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matango pori umelishwa wewe mtupori, Kabendera wa mamaye kukosa fedha za matibabu mpaka abangaize ndiye wa kulipa milioni 100 na 26 kila mwezi kwa miezi 6 mfululizo? Labda humjui huyo Kijana unadandia tuu.Vibendera katika ubora wao
Tayari wamelishana Matango pori
Hahahaha
Umeandika kwa hisia. Ukikiri kosa sheria hairuhusu kukata rufaa. Unakata ya nini wakati umeshakiri makosa mwenyewe? Unaelewa maana ya kukata rufaa mkuu?Erick Kabendera kuwa huru ni muhimu kuliko kuwa magereza. Hakuna ushujaa kuishi gerezani. Amenunua uhuru wake kupitia 'plea bargain'. Atapambana kwa rufaa akiwa huru kufuta hii jinai. Atamuomba Mungu wake msamaha kukiri uongo. Ni dhambi kukiri uongo. Wababe hufurahia kutesa watu
Ramli hii. Ingekuwa rahisi hivyo basi baada ya uongozi wa Nyerere na Mkapa kesi za hivyo zingekuwa nyingi. Mahakama hizi zina taratibu zake, haziendeshwi kishabiki mkuu.Subiri uone baada ya utawala huu wa kifashisti kuondoka wimbi la watu kwenda mahakamani kutaka mahakama kuwasafisha kwani walilazimishwa kukiri makosa ambayo siyo yao.
Hilo litatokea sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamjua Erick vizuri? Unadhani ni njaa kali? Uliamini mama yake alikosa pesa ya matibabu?Matango pori umelishwa wewe mtupori, Kabendera wa mamaye kukosa fedha za matibabu mpaka abangaize ndiye wa kulipa milioni 100 na 26 kila mwezi kwa miezi 6 mfululizo? Labda humjui huyo Kijana unadandia tuu.
Hiyo sanaa wajuzi wa sanaa wamesha i piga chini. Haina kiwango
Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja dhaifu. Kwahiyo Erick hataki kuiachia familia yake utajiri?Ungekuwa wewe uko ndani,usingenunua uhuru wako?Hao akina Ruge huwezi jua,pengine wanataka waziache familia zao na utajiri!
Principally you are correct, lakini itakuja regime yenye utu baada ya hii ya kinyama. Bunge la baadaye linaweza kutengeneza hata sheria ya mpito ili ku-heal haya manyanyaso na maonevu.Umeandika kwa hisia. Ukikiri kosa sheria hairuhusu kukata rufaa. Unakata ya nini wakati umeshakiri makosa mwenyewe? Unaelewa maana ya kukata rufaa mkuu?
Punguza mahaba, jee unaamini kuwa Kabendera kalipa milioni 100 taslimu na kuwa ataendelea kulipa milioni 26 kila mwezi kwa miezi 6?Sheria haiangalii hizo mambo mkuu. Ni sheet by sheet. Clause by clause. Hazina emotions.
Mwandishi wa Habari Kabendera ana maslahi nao gani? Maana kama ni ishu ya waandishi, hao wengine waliowahi kuwa na kesi mabeberu walikuwa wanatuma watu wao?Inamaana hujui mabeberu walivyo macho sana na waandishi wa habari?Hili linajulikana mbona!Ukigusa wanahabari basi utaona nguvu yao!We fikiri kila siku kesi ilipokuwa inatajwa walikuwa wanatuma watu wao na tuliwaona!
Kaka, Mama Kabendera (Mungu amrehemu) hakukosa dawa kiasi cha kuchangiwa. Zile ni stunt za kusaka huruma. Nimekuuliza unamjua vizuri Kabendera maisha yake? Binafsi namfahamu. Hana njaa hiyo.Punguza mahaba, jee unaamini kuwa Kabendera kalipa milioni 100 taslimu na kuwa ataendelea kulipa milioni 26 kila mwezi kwa miezi 6?
Unajua tuu kuwa mama yake aliyekuwa akimuuguza miezi miwili tuu baada ya kukamatwa alikuwa anachangiwa elfu mbilimbili za kutibiwa na ndugu, jamaa na marafiki?
Kwa nini macho yenu yanashindwa kuona mazingaombwe hata ya wazi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Eric Kabendera hana kosa lolote. Yeye ni invesgative journalist basi!! Alichoandika kimewaudhi madikteta wanaotawala Tanzania. Walipokosa majibu ndiyo wakambambikiza makosa ya AML.Hivi ww kwa akili yako unajua kuwa hana kosa? Umejiuliza mwandishi wa Habari yupi na kwa msahahara Upi anaweza kulipa mil 100? I am sure ungekuwa ww ungefia gerezani pamoja na offer hiyo ya msamaha .
Hana hizo pesa!Awaachie kitu ambacho hana?Hoja dhaifu. Kwahiyo Erick hataki kuiachia familia yake utajiri?
Matango pori umelishwa wewe mtupori, Kabendera wa mamaye kukosa fedha za matibabu mpaka abangaize ndiye wa kulipa milioni 100 na 26 kila mwezi kwa miezi 6 mfululizo? Labda humjui huyo Kijana unadandia tuu.
Hiyo sanaa wajuzi wa sanaa wamesha i piga chini. Haina kiwango
Sent using Jamii Forums mobile app
KalagabahoHana hizo pesa!Awaachie kitu ambacho hana?