Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
More like a gangster coercive ‘ransom demand’ letter, than a lawyer intentions to pursue ‘negligence claim’.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyu mtu ndio alikua anapokea hela kutoka nje na kuzigawa kwa waandishi wa habari ili wafanye uchochezi na wamchafue magufuli. Magufuli hakua na msalie mtume sheria ikatinga usoni kwake. Sasa asijidai kudai watu fidia kama vile alionewa.Mwandishi wa Habari, ERICK KABENDERA ameitaka Kampuni ya Simu ya VODACOM TANZANIA kumlipa USD 1,000,000 MILIONI ndani ya SIKU 14 kwa Kufanikisha kutekwa kwake mwaka 2019.
Amefanya hivyo kupitia kwa WAKILI wake Peter Madeleka.
View attachment 2974231
Ukiona mahakama badala ya kufanya ya kutoa haki na wanaangalia wakili ni nani, na ushahidi ni upi ujue hapo hakuna mahakama, Bali watumwa wa watawala.Unajua jambo kubwa wanalikosea watu ni aina ya mawakili wanaotumia Peter Madeleke akishatumiwa jambo linabadilishwa kuwa la Kisiasa na uhuru wa mahakama hakuna siasa ndio inaendesha kila kitu, yule mama Singida kaibiwa ushahidi upo watuhumiwa wamekamatwa Babati ila hakuna kilichofanyika hadi sasa wakili wake ni Peter Madeleke jifunzeni kusoma upepo.
Huyo rais yupo tayari kwenda mahakamani kutestify? Kama alivyofanya Mkapa kwenye kesi ya aliyekuwa balozi Italy?Labda kama angeweza kufungua hiyo kesi kwenye mahakama ya kimataifa. Lakini hakuna uwezekano wowote wa yeye kupata haki kwa kosa lililofanywa kwa maagizo ya rais. Hapa kwetu rais ni Mungu, hata katiba imempa kinga ya kufanya uhalifu.
Voda watamtaja aliyewaagiza na kuweka ushahidi wa hayo maagizo. Hilo litawezekana kwenye mahakama za kimataifa, sio kwenye hii mahakama ya majizi.Huyo rais yupo tayari kwenda mahakamani kutestify? Kama alivyofanya Mkapa kwenye kesi ya aliyekuwa balozi Italy?
Hii ni moja ya comment chache sana kwenye hii thread ''yenye akili''. Unaonekana wewe ni mtu ambaye uko well informed, educated na una exposure. Comments nyingine nyingi zimejaa ''uchafu wa ubongo'' wa kibongo-bongo. Yaani mambo seroius wanaleta mzaha au wanaonyesha chuki kwa mwathirika.Kesi hii iko very genuine indeed. Personally, I have a worse similar experience like this with Tigo service provider. Naona wa-Tanzania wengi ambao wanatoa maoni hawajui bayana namna jinsi makampuni ya mitandao ya simu inavyoshirikiana na 'Wadhalimu' ktk kuwafanyia watu mashamhulizi ya kimtandao Kama haya. Kimsingi Hali siyo shwari kabisa kwenye masuala Kama haya.
Hilo shambulizi la kimtandao alilofanyiwa linaitwa 'Denial of Service Attack', Mimi binafsi nilipofanyiwa mashamhulizi ya namna hii nilikuwa nayadhibiti kwa kufanya 'mbinu za kuyaepuka', nilifanikiwa kufanya hivyo baada ya kupata ushauri wa kitaalamu ktk masuala haya ya ICT kutoka kwa Mhindi mmoja ambaye alikuwa expert sana kwenye masuala haya, ubarikiwe Sana Bw. Murkhejee huko India uliko hivi Sasa.
Sikiliza: Mahakama ndiyo inaamua alipwe kiasi gani kulingana na uzito wa case. Kiwango alichotaja hakiwezi kukwamisha malipo iwapo atashinda kesi, sana sana mahakama inaweza kusema kiasi ni kikubwa hivyo kipungue.Labda angedai robo ya hiyo pesa angefikiriwa.
Kwa bahati mbaya sana ni kuwa kwenye hii mitandao 'wavaa kaunda suti' wamewa-infiltrate watu wao wengi, hilo ndio tatizo lingine.Watu wanadhani mzaha......ukisikia ukitazama ile kesi ya Ugaidi ya Mbowe ndio utajua Mitandao ya simu inatakiwa kuwa na Ulinzi imara kwa wateja wake.
Tuliona wale ma Eng na Lawyers wa Tigo walivyopata taabu kujibu maswali ya Mawakili na Jaji.
Atashinda kwa mahakama ipi?atawapeleka mahakamani....nina uhakika atakuwa ana rejea ya kesi za namna hiyo kumwezesha kufile case kama hiyo
Bilioni mbili na milioni Mia tano !ndio shingapi za kibongo?
Mgonjwa wa akili ni nani?Mgonjwa wa akili huyo
Ni swala la kawaida kwa usalama shida ni pale zinapoonea watu kutumika kinyume chake.Kwa bahati mbaya sana ni kuwa kwenye hii mitandao 'wavaa kaunda suti' wamewa-infiltrate watu wao wengi, hilo ndio tatizo lingine.
John Wickzer Mulholland, hatusemi should learn through the hard way, hicho ni Kiingereza cha wengi wa PhD holders wa Kitanzania. Comment kama hiyo inakuondolea kabisa sifa ya kuchangia mijadala kama hii na kwa habati mbaya Kiingereza kimsingi ndiyo lugha rasmi ya Mahakama za juu nchini.Yes, Vodacom Tanzania should learn the lesson through the hard way.
Observation yako ni ya kweli. Majibu haya hapa:-Tatizo wakili Madeleka hajawahi kushinda kesi hata moja, na pia si wakili sahihi kuntumia kwa sababu ana mikwaruzano na taasisi nyingi, wanaweza kumkomoa Madereka kwa kupitia kesi yako
Eeehh