Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
89 R.E 2019] (the Limitation Act) provides for limitation of time for legal action. However, the application of the Limitation Act is limited to civil proceedings and related mattersEeehh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
89 R.E 2019] (the Limitation Act) provides for limitation of time for legal action. However, the application of the Limitation Act is limited to civil proceedings and related mattersEeehh
Akaombe extension ya muda kwa Waziri wa Sheria na Katiba, LLA ina provisions hiyo, japo akipata extension hiyo itakuwa maajabu mengine ya dunia. Ingependeza kama extension hizo zingekuwa zinatolewa na mahakama kuliko Waziri kwa kuwa hana mechanism ya kisheria ya kutumia utashi wake wa kuongeza muda89 R.E 2019] (the Limitation Act) provides for limitation of time for legal action. However, the application of the Limitation Act is limited to civil proceedings and related matters
Waziri naye hana mamlaka ya ku extend kwa nusu ya muda ambao shtaka linapaswa kufunguliwa baada ya tukio. Muda ni ndani ya miezi 6, Waziri wa Sheria atakupa miezi 3.Akaombe extension ya muda kwa Waziri wa Sheria na Katiba, LLA ina provisions hiyo, japo akipata extension hiyo itakuwa maajabu mengine ya dunia. Ingependeza kama extension hizo zingekuwa zinatolewa na mahakama kuliko Waziri kwa kuwa hana mechanism ya kisheria ya kutumia utashi wake wa kuongeza muda