Erick Kabendera aitaka Vodacom imlipe Dola Milioni 1 kwa kufanikisha kutekwa kwake 2019

huyu mtu ndio alikua anapokea hela kutoka nje na kuzigawa kwa waandishi wa habari ili wafanye uchochezi na wamchafue magufuli. Magufuli hakua na msalie mtume sheria ikatinga usoni kwake. Sasa asijidai kudai watu fidia kama vile alionewa.
 
Ukiona mahakama badala ya kufanya ya kutoa haki na wanaangalia wakili ni nani, na ushahidi ni upi ujue hapo hakuna mahakama, Bali watumwa wa watawala.
 
Labda kama angeweza kufungua hiyo kesi kwenye mahakama ya kimataifa. Lakini hakuna uwezekano wowote wa yeye kupata haki kwa kosa lililofanywa kwa maagizo ya rais. Hapa kwetu rais ni Mungu, hata katiba imempa kinga ya kufanya uhalifu.
Huyo rais yupo tayari kwenda mahakamani kutestify? Kama alivyofanya Mkapa kwenye kesi ya aliyekuwa balozi Italy?
 
Huyo rais yupo tayari kwenda mahakamani kutestify? Kama alivyofanya Mkapa kwenye kesi ya aliyekuwa balozi Italy?
Voda watamtaja aliyewaagiza na kuweka ushahidi wa hayo maagizo. Hilo litawezekana kwenye mahakama za kimataifa, sio kwenye hii mahakama ya majizi.
 
Hii ni moja ya comment chache sana kwenye hii thread ''yenye akili''. Unaonekana wewe ni mtu ambaye uko well informed, educated na una exposure. Comments nyingine nyingi zimejaa ''uchafu wa ubongo'' wa kibongo-bongo. Yaani mambo seroius wanaleta mzaha au wanaonyesha chuki kwa mwathirika.
 
Watu wanadhani mzaha......ukisikia ukitazama ile kesi ya Ugaidi ya Mbowe ndio utajua Mitandao ya simu inatakiwa kuwa na Ulinzi imara kwa wateja wake.
Tuliona wale ma Eng na Lawyers wa Tigo walivyopata taabu kujibu maswali ya Mawakili na Jaji.
Kwa bahati mbaya sana ni kuwa kwenye hii mitandao 'wavaa kaunda suti' wamewa-infiltrate watu wao wengi, hilo ndio tatizo lingine.
 
Yes, Vodacom Tanzania should learn the lesson through the hard way.
John Wickzer Mulholland, hatusemi should learn through the hard way, hicho ni Kiingereza cha wengi wa PhD holders wa Kitanzania. Comment kama hiyo inakuondolea kabisa sifa ya kuchangia mijadala kama hii na kwa habati mbaya Kiingereza kimsingi ndiyo lugha rasmi ya Mahakama za juu nchini.
 
Tunaanza kujitambua kuyasuu makampuni kwa kosa la kutuchukulia poa!
 
Tatizo wakili Madeleka hajawahi kushinda kesi hata moja, na pia si wakili sahihi kuntumia kwa sababu ana mikwaruzano na taasisi nyingi, wanaweza kumkomoa Madereka kwa kupitia kesi yako
 
Tatizo wakili Madeleka hajawahi kushinda kesi hata moja, na pia si wakili sahihi kuntumia kwa sababu ana mikwaruzano na taasisi nyingi, wanaweza kumkomoa Madereka kwa kupitia kesi yako
Observation yako ni ya kweli. Majibu haya hapa:-

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…