Akaombe extension ya muda kwa Waziri wa Sheria na Katiba, LLA ina provisions hiyo, japo akipata extension hiyo itakuwa maajabu mengine ya dunia. Ingependeza kama extension hizo zingekuwa zinatolewa na mahakama kuliko Waziri kwa kuwa hana mechanism ya kisheria ya kutumia utashi wake wa kuongeza muda