Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Pointi yako ni hipi!!! Khaa Kiswahili kumekuwa kigumu kuliko kidigoPointi yako ni hipi mkuu? Kwahiyo kabendera ndo anajifanya anamjua aliyewahi kuwa mkuu wa nchi kachaguliwa na wananchi kwa kura nyingi awamu ya kwanza alafu awamu ya pili wananchi wakamchagua kwa kura nyingi!!
Sawa, ila bado ni assumption. Hazina nguvu ya kumpiga Kabendera knock out kwa taarifa aliyoandika.Hata kama ni udikteta,ila hakuna mjinga anaweza kufanya kama alichoandika Erick kwamba alimteka na kumpeleka ikulu na kumpiga risasi mwenyewe...........kwa uelewa wangu dicteta anakuwa na watu wake wanaofanya hivyo movements
Una uhakika alichaguliwa????Pointi yako ni hipi mkuu? Kwahiyo kabendera ndo anajifanya anamjua aliyewahi kuwa mkuu wa nchi kachaguliwa na wananchi kwa kura nyingi awamu ya kwanza alafu awamu ya pili wananchi wakamchagua kwa kura nyingi!!
Ukienda hospital ukiwa unachemka na kichwa kinauma ukiambiwa una malaria unapata relief shida imeonekana.
Ukienda kwa Mganga umefiwa mtoto mkawa mnamuhisi jirani na mganga akawaambia yule jirani asiye na mtoto ndiye kamuondoa mnapata nguvu mbaya wenu kajulikana.
Kitabu cha IN THE NAME OF THE PRESIDENT cha Erick Kabendera kimebeba majibu ya hisia za watu hivyo ni vyema hisia zikawekwa pembeni ni kujiridhisha kuhusu ukweli wake au uongo wake.
awamu ya kwanza unauhakika alishinda kwa kura nyingi? au ilifanyika funika kombe, umeyasahau ya Zecha Zanzibar?Pointi yako ni hipi mkuu? Kwahiyo kabendera ndo anajifanya anamjua aliyewahi kuwa mkuu wa nchi kachaguliwa na wananchi kwa kura nyingi awamu ya kwanza alafu awamu ya pili wananchi wakamchagua kwa kura nyingi!!
"udumavu mkubwa sana wa akili" hili lina ka ukweli kiasi maana watu hawataki kupigania hali zao kama akina Eric na Lissu.
Hakika"udumavu mkubwa sana wa akili" hili lina ka ukweli kiasi maana watu hawataki kupigania hali zao kama akina Eric na Lissu.
Ambako mimi na wewe kwa dhambi zetu hatuto paonaUkwel uko Mbinguni tu
Tunaweka sawa historia.Kuna kuwa na faida gani kumu ongelea mtu aliyekufa?
AiseeHuyo Lofa Kabendera hana tofauti na Lisu, alishapuuzwa kitambo
Jf sasa hivi imejaa wale watoto wa 2000 mnasumbuaTunaweka sawa historia.
On 01.01.2024 I became a 60 yrs oldman my good friend.Jf sasa hivi imejaa wale watoto wa 2000 mnasumbua
Unadhani kwanini kimetoka kipindi hiki?Tunaweka sawa historia.
Okay sawaOn 01.01.2024 I became a 60 yrs oldman my good friend.
So sad ,siasa ngumu sana
No one Cares kama hutokisoma. Sisi wengine tutasoma.Sijakisoma na wala sitakisoma maana tayari kinaonekana kimebeba hisia za mtu ma tayari kimehakisi hasira na hatia za mtunzi wa kitabu.
Yaani ni sawa na unatumga kitabu kisa babako alikuchapa sana ukiwa chini ya himaya yake.
Unaenda huko kijijini kwenu (kwa babako) kwenda kufuatilia maisha yake kisa ni kumchafua sababu "alikuua" kwenye malezi yake, 😂 ahahahah!.
Bado naendelea kujifunza!.
Hafu ugundue nini ?No one Cares kama hutokisoma. Sisi wengine tutasoma.